Not registered on network

Not registered on network

Boss jana nilimpa jamaa yangu hapa ninapoishi ameiflash na kuweka Android 10 tukiamini ita solve tatizo lakini bado lipo vile vile.

Tatizo lilianza ikiwa na Pie Android 9
Issue ni hyo CSC. Inabidi ibadilishwe. Iwe AFR tupu au XEO, XEF
 
Boss jana nilimpa jamaa yangu hapa ninapoishi ameiflash na kuweka Android 10 tukiamini ita solve tatizo lakini bado lipo vile vile.

Tatizo lilianza ikiwa na Pie Android 9
IMEI ipo Blacklisted hiyo kama Duplicated,hauwezi kupata Network mpaka aweke nyingine(ambayo ni unique) ila ni kosa kisheria ukidakwa na TCRA unakula mvua 10 au fine ya 15mils au vyote kwa pamoja.
 
What should I do?
 
Kma huyu jamaa anaweza kuflash mwambie a download firmware ya SM A202FN AFR

IMG_3150.JPG
 
Mimi simu yangu ilikuwa na hii shida jamaa akairoot akaiset ikakubali sasa nawaza Nikii unroot tatizo si linaweza kurudi etii???
IMEI ipo Blacklisted hiyo kama Duplicated,hauwezi kupata Network mpaka aweke nyingine(ambayo ni unique) ila ni kosa kisheria ukidakwa na TCRA unakula mvua 10 au fine ya 15mils au vyote kwa pamoja.
 
Mimi simu yangu ilikuwa na hii shida jamaa akairoot akaiset ikakubali sasa nawaza Nikii unroot tatizo si linaweza kurudi etii???

Jamaa alichofanya ni kukuwekea IMEI unique tu ila akiigawa kwa watu wengi ipo siku itakuja kupigwa PINI tena.
 
Nenda K/koo akuwekee IMEI nyingine ambayo ni Unique hiyo aliyokuwekea ikashika Network amewawekea wengi ndio maana Mtandao uka detect kama Duplicated hivyo wakaiblock,Ukitaka Ku prove kwamba IMEI ni chaka iangalie hiyo IMEI kama ina match na simu yako hiyo A20.

Sawa kiongozi Nimekuelewa
 
IMEI ipo Blacklisted hiyo kama Duplicated,hauwezi kupata Network mpaka aweke nyingine(ambayo ni unique) ila ni kosa kisheria ukidakwa na TCRA unakula mvua 10 au fine ya 15mils au vyote kwa pamoja.
Alaf kweli aisee. Daah jamaa inawezekana kamuwekea IMEI ya mtu mwingine.
 
Mimi simu yangu ilikuwa na hii shida jamaa akairoot akaiset ikakubali sasa nawaza Nikii unroot tatizo si linaweza kurudi etii???
Sidhani kma litarudi. Maana aliroot ili abadilishe IMEI number. So imei isha kua saved kwenye simu tayari
 
Aisee....... naitia chooni tu hii simu
Hamna mzee inapona hyo mbona. Tatzo pia ashaichokonoa imei yake. We nenda tu mwambie aingize imei number za simu yako. Zipo kwenye box. Kma huna box hapo mpk simu ifunguliwe kule ndani kuna imei number imeandikwa
 
Back
Top Bottom