Katika hii dunia ya kawaida, unaamini kuwa kuna binadamu aliye bora na asiye bora kwenye macho ya wamagharibi?....wakati wengine wakifa kama kuku, dunia haiambiwi mambo hayo....wakati taifa moja likiivamia nchi iliyokuwa imetulia tu na kuifanya bwawa na damu ambapo kila kukicha watu wanauwana wao kwa wao, dunia haiambiwi mambo hayo...katika macho ya wamagharibi, Dr. Karen anathamani kuliko a thousands of Afghans and Iraqis. Sadam aliua wakurd kadhaa, dunia nzima ilijua kuwa sadam ni muuaji. Kwa wanaothamini utu, kama ni kweli aliuwa hao wakurdi basi ni muovu na hafai...alifatutwa akanyongwa, yeye na washirika wake....lakini ninakwambia masanilo, saddam hakunyongwa kwa kuwa aliua wakurdi...wakurdi hawana thamani kama Dr. Karen kwenye macho ya wamagharibi...je toka sadam ameondolewa madarakani, ni wairaq wangapi wamekufa? je dunia inawalilia? kwanini?
Juzi Juzi, meli ya misaada iliyokuwa ikienda palestina ilivamiwa na makomandoo wa kiisraeli, na kuua wanaharakati wote ndani ya meli iyo. waliokufa hawana thamani kama Dr. Karen katika macho ya wamagharibi. waliouwawa wengi walikuwa raia wa uturuki. Raia wa uturuki hana thamani kama Dr. karen kwenye macho ya wamagharibi.....ndo maana dunia haikuwalilia, na Masanilo hakuwalilia
Hakika nikwambie masanilo,,,hata wewe unayemlilia huyu Dr. Karen huna thamani yeyote katika dunia ya kimagharibi...
Funga macho unayojidanganya ni yako kumbe ni kupumbazwa tu na wamagharibi, na ufungue yale yakwakwo ya asili....yale yatakayokuwezesha kuona every evil, whether it is done by Afghan or USA
we are just living in a lie!