Ana changamoto ya akili hata kama yuko obsessed inatia aibu sana upo na watu halafu screen ya simu protector sio privacy wanakuona una scroll mipicha ya hovyo, unaonekana na wewe akili haunaYuko obsessed na wanawake watupu...yani in short ni kilevi chake...
Aise, ebu tufafanulie kwanza hiyo picha inamaanisha nini ๐๐We naye na mapicha yako unaboa๐ฎ
Enzi zetu miaka ya 1998 mpaka 2000 hivyo viatu vilikuwa vinaitwa utanikoma saa 8 ๐๐๐
Sure....Ana changamoto ya akili hata kama yuko obsessed inatia aibu sana upo na watu halafu screen ya simu protector sio privacy wanakuona una scroll mipicha ya hovyo, unaonekana na wewe akili hauna
Achana na AI kuna huyu (Hey yai)๐
Si mdada anajitanua iingie๐คฆ๐ฝโโ๏ธAise, ebu tufafanulie kwanza hiyo picha inamaanisha nini ๐๐
Sio kila mtu ana madini wengine wakae tu huko kama anayo nafasi๐ฎSure....
Au umu ignore
Sema nayo yakijaa sana yana bore
Pia kumu ignore mtu sio vzr kuna siku ataandika madini uyakose...๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Chauchoyo!๐