Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,996
- 110,580
Hii ndio ile unamwachia wife maagizo apike kuku mzima...
Mke kazingatia neno "kuku mzima"
Ivi braza unawazaga nini?
Tumetumwa utii, sio ujuaji naona yuko sahihi😁Hii ndio ile unamwachia wife maagizo apike kuku mzima...
Mke kazingatia neno "kuku mzima"
Hapa atheist ndio watajua hawajui...
Mkuu utakuwa na akili za tofauti sana nikiangalia nyuzi zako iq yako iko tofauti sana