Not everything AI

Ashajichokea zake, kama alizitafuna sana enzi hizo sasa hivi acha amalizie tu uzee kuliko kushusha sukari πŸ˜†

Hahaha unataka kuniletea vyakula au? Kwanza nimesikia kuna bajeti imetengwa pembeni mniandike jina langu tafadhali😎
Yeah budget imeanza, na ndo maana nakusihi uje inbox πŸ“¬, nikuchukue baadhi ya details ili upate kipaumbele zaidi kwenye mgao. 😊😊
 
Yeah budget imeanza, na ndo maana nakusihi uje inbox πŸ“¬, nikuchukue baadhi ya details ili upate kipaumbele zaidi kwenye mgao. 😊😊
Safii! Hapo tunaweza kuongea lugha moja sasa navaa viatu nakujaπŸ’ƒπŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…