Kizazi kipya cha muziki wa Rap

Yees Sir

Member
Nov 10, 2022
29
30
Hip Hop/Rap Music ni Mziki Wenye Ushawishi Mkubwa Hasa kwa Vijana Wanapofikia Age Fulani. Licha Ya Hapo Mwanzoni Hip Hop Kujikita Zaidi Kiharakati Na Muziki Unaopendwa Zaidi Na Kundi Fulani Katika Jamii Hasa Wanaume/Wahuni/Wanaharakati Lakini Siku Baada ya Siku Huu Mziki Umekua Modified Na Kuanza Kukubalika Na Kundi Kubwa La Watu Ndani Ya Jamii.

Vijana Wadogo, Wanawake Vijana Na Hata Kinamama Wameanza Kuuelewa Aina Hii Ya Mziki. Chanzo Cha Mziku Huu Kuanza Kueleweka Zaidi Ni Baada Ya Kupunguza Ugumu Hasa Kwenye Uandishi Wa Mashairi. Flow Za Kuvutia. Swaggz Zaidi Na Mwisho Kufanya Rap Music Kuwa Rahisi Sana Hasa Kwenye Kufikisha Ujumbe.

So Today, Nitapanga List Ya Wasanii Kumi Waliofanya Rap Music Kukubalika Zaidi. Kwa Rahisi Mno Kuelewa Na Wenye Ushawishi Hasa Kwa Vijana. Twende!

Nikianza na Rappers Kutoka U.S.A

01. Juice Wrld
Kama utakuwa mfuatiliaji Mzuri Wa Rap Hasa Kuanzia Miaka Ya 2010 Kwenda Mbele, Rappers Wengi Wameibuka Wakiwa Na Style Tofauti Tofauti. Mmoja Kati ya Rapa Mkali Aliyeibuka Ni Jarad Higgins a.k.a Juice Wrld/Juice The Kid. Ngoma Ilimtambulisha Zaidi Ni Lucid Dreams Iliyotoka mwaka 2018. Pia Alifanya Vizuri Zaidi Na Ngoma Kama Fast, All the Girls are the same, Legends, Hear me calling na Empty. Huyu Ni Rapper Aliyekuwa Akiimba Style Ya Mziki Wa Rap "Melodic Rap".
Yaani Kwenye Melodic Rap, Rapper Huwa Anarap Lakini Kwa Style Flani Ya Kuimba. Juice Wrld Ni Mmoja Kati Ya Melodic Rap kuwahi Tokea

02. Lil Baby
Jamaa Ni Mmoja Kati Ya Rapper Wenye Punchline Kali. Uwezo Wake Mkubwa Wa Kubadili Flow, Kuwa Na Content, Na Punchline Za Maana Zinamfanya Kuwa Mmoja Kati Ya Marapa Wanaokubalika Sana U.S.A kwa Sasa.

Ngoma Kali Toka Kwa Lil Baby
-Emotional Scarred
-Life goes on ft Lil Uzi
-Drip Too Hard ft Gonna
-Woah
Na Nyingine Nyingi.

03. Migos
Licha Ya Kifo Cha Takeoff na Kujitoa Kwa Offset, Migos Litabaki Kuwa moja Kati Ya Group La Hip Hop lililoua Mbaya Kipindi Cha Ubora Wake. Home Boyz Wengi na Madem Walikuwa Wanakubali kazi Mbalimbali toka Kwenye Hili Group.

Baadhi Ya Kazi Za Migos Zilizofanya Vizuri
-T Shirt
-Slippery
-Narcos
-Bossss Don't Speak
-Walk it like Ft Drake
-Motorspot

NB: Kundi Liliundwa Na Quvo Huncho, Offset Na The Late Kirsnik Khari Ball a.k.a Takeoff

Swaggz Zao, Ukali Kwenye Fashion Na Mumble Rap Yao ilikuwa Rahisi Sana Kuelewa Wanachokiimba Na Kuvutia Kundi Kubwa La Vijana.

04. Travis Scott
Rapper Huyu Mwnye Record Katika Chart Mbalimbali Za Miziki Ikiwemo Billboard Ni Moja Ya Influential Rapper Of His Generation. Akifanya Collaboration Na Wasanii tofauti kama Kendrick Lamar, Drake Na wengine Wengi. Mtumiaji Wa Autotone Kupitilza, Swaggz, Fashion n.k
Baadhi Ya Ngoma Zake Kali Ni Goosebumps n Candy Cane.

05. 21 Savage
21..21..21!Hupenda Sana Kujiita Hivyo..
Projects
-A Lot
-Bank Account
N so on ......

06. Roddy Rich
Projects Kama Ballin, Down Below, The Box na Rockstar featured by Da baby Zimemuweka Mahala Pazuri Rapper Huyu. Ni Rapper Anayeburudisha Zaidi Kwenye Nyimbo Zake.

07. Xxxtentacion
Hapaswi Kuelezewa Sana Ila Alikuwa Moja Ya Talented Rapper Kuwahi Tokea akitoa Projects Zilizofanya Vizuri Kama
-moonlight
-Changes
-Hope
-Sad

08. Lil Uzi Vert
Rapa Huyu Mfupi Na Swaggz Za Ajab Ajabu Ni Mona Kati Ya Rapper Waliofanya Rap Music Kukubalika Hadi na Madem.
Projects Zake Kali Ni
-The Way Life Goes Ft Nick Minaj
-Sanguine Paradise
-Thats Rack
-Xo Tour Life
-Go Off ft Migos n Travis Scott

09. 69 Tekashi
Moja ya Rapper Mtata Na Mwingi Wa matukio Ni Huyu. Rap Yake Ni Ya Makelele Mno Ila Imekuwa Ikikubalika Zaidi Na Vijana.
Moja ya Ngoma Aliyofanya nazo Vizuri Ni kama gooba na Nyinngine Nyingi Licha Ya Kuwa Poor Lyrist, Weak Flow Na Zero Content.

10. Polo G
Polo G Ni Mmoja Kati ya Melodic Rappers wakali Kwa Sasa.
Fuatilia Project Zake Mbalimbali Kama
-Epidemics
-Suicide ft Lil Tjay
-So Real
-Flex ft Juice Wrld
-Hate other Side ft Marshmello & Juice n The Kid Laroi
 
KiukweLi tekashibsijawahibkumuelewa naona nibmsanii anaebahatisha tu ila hao wengne wote kwangubni moto kidg juicy wurld namuelewa kwa nymb chache sana ila apo kwa XXX ,21,migos na wengne dah ni wakali apo ungemuweka na bwana mdg lil tjay
 
List nzuri lakini, haijakamilika bila kumweka Future. Huyu jamaa ana hits nyingi sana kwenye discography yake, na ameinspire wasanii wengi unaowaona hapo juu akiwemo Juice WRLD.
 
List nzuri lakini, haijakamilika bila kumweka Future. Huyu jamaa ana hits nyingi sana kwenye discography yake, na ameinspire wasanii wengi unaowaona hapo juu akiwemo Juice WRLD.
Juice WRLD alikuwa inspired na pac

Huyo Future kafanya naye album ya "World on drugs" ndio sehemu pekee ambayo inaonesha ukaribu wake na Juice
 
Navyo fahamu Juice WRLD aliimba Emo Rap hiyo ya Melodic Rap ndio naisikia kwako
 
Juice WRLD alikuwa inspired na pac

Huyo Future kafanya naye album ya "World on drugs" ndio sehemu pekee ambayo inaonesha ukaribu wake na Juice
Nakubaliana na wewe, lakini Juice WRLD amekuwa inspired sana na Future mpaka matumizi ya lean. Na JuiceWRLD alikiri mwenyewe kuwa muziki wa Future ulikuwa ni inspiration kubwa kwake kiasi mpaka akaanza kutumia lean.

Na kimuziki ama aina yoyote ya sanaa, inspiration ni mara chache kutoka kwa msanii mmoja, mara nyingi ni msanii atakuwa inspired na wasanii tofauti, na humfanya msanii kublend style tofauti tofauti, na kuwa na style yake ya pekee.
 
I
Hip Hop/Rap Music ni Mziki Wenye Ushawishi Mkubwa Hasa kwa Vijana Wanapofikia Age Fulani.Licha Ya Hapo Mwanzoni Hip Hop Kujikita Zaidi Kiharakati Na Muziki Unaopendwa Zaidi Na Kundi Fulani Katika Jamii Hasa Wanaume/Wahuni/Wanaharakati Lakini Siku Baada ya Siku Huu Mziki Umekua Modified Na Kuanza Kukubalika Na Kundi Kubwa La Watu Ndani Ya Jamii.

HIP = Knowledge
HOP = movement
HIP HOP = Intelligent movement
HIP HOP is more than music
Yes Sir!Hip Hop ni Pana Sana..Ila kwa Watu Wengi Wanaelewa Hip Hop Kwa Upande Wa Category ya Music Tu!
 
Nakubaliana na wewe, lakini Juice WRLD amekuwa inspired sana na Future mpaka matumizi ya lean. Na JuiceWRLD alikiri mwenyewe kuwa muziki wa Future ulikuwa ni inspiration kubwa kwake kiasi mpaka akaanza kutumia lean.

Na kimuziki ama aina yoyote ya sanaa, inspiration ni mara chache kutoka kwa msanii mmoja, mara nyingi ni msanii atakuwa inspired na wasanii tofauti, na humfanya msanii kublend style tofauti tofauti, na kuwa na style yake ya pekee.
Sina uhakika sana na story ya Future kum influence Juice kwenye drugs, kwasababu nijuavyo mimi, Juice Wrld alianza kutumia lean akiwa na miaka 11 na hiyo ilitokana na anxiety plus depression so alitumia hizo drugs ili ku overcome hiyo situation

Maybe inawezekana
 
It's all over the internet.
6EACF9A6-3389-473D-AF46-40AD869950B3.jpeg
 
Nakubaliana na wewe, lakini Juice WRLD amekuwa inspired sana na Future mpaka matumizi ya lean. Na JuiceWRLD alikiri mwenyewe kuwa muziki wa Future ulikuwa ni inspiration kubwa kwake kiasi mpaka akaanza kutumia lean.

Na kimuziki ama aina yoyote ya sanaa, inspiration ni mara chache kutoka kwa msanii mmoja, mara nyingi ni msanii atakuwa inspired na wasanii tofauti, na humfanya msanii kublend style tofauti tofauti, na kuwa na style yake ya pekee.
Yeah Mko Sahihi Wote Wakuu..Chanzo Cha Jina Juice ilikuwa Ni Movie ya "Juice" Ambayo Tupac Alishiriki.So Juice Wrld Alichukua Hilo Jina Toka Kwenye Hiyo Movie Chanzo Kikubwa Kikiwa Ni Mapenzi Yake Kwa Greatest Rapper Of All The Time Bwana Tupac Amaru Shakur.

Lakini Ukija Inspiration Ya Kimuziki Sasa Hapo Ndipo Unaweza Sema Juice Alimkubali Mno Future.Naye Alishawahi Kukiri Pia Future Ni Role Model Wake Kimziki.Kitu Kimoja Kukielewa Ni Hivi...

TUPAC SHAKUR Ni Zaidi Ya Msanii Yaani Mchizi Anaweza Akawa Role Model Wa Kundi Kubwa La Vijana Hasa Wanaofanya Rap Music..Lakini Ukifuatilia Kiundani Zaidi Utakuja Gundua Vijana Wengi Ni Kwamba Wanaikubali Tu Lifestyle Ya Tupac Kuliko Hata Muziki Wake.Umaarufu Wake, Confidence Yake Kubwa,Kuwa Real na Pengine Hata Uhuni Aliokuwa Nao Ni Chanzo Cha Kukubalika Mno.

All in All Tupac Is The Best Rapper Of All The Time.
 
Yes sir! Uko Sahihi Juice Aliimba Emo Rap ambapo Ngoma Zake Nyingi Ni Emotional Na Kunung'unika Zaidi.Lakini Pia Hata Ukisema Juice Wrld Alifanya Melodic Rap ni Sahihi Pia Kwani Hakuna Utofauti Kihivyo Kati Ya Emo Rap Na Melodic Rap..
Both Melodic Rap n Emo Rap Artists Huwa Wanaflow Kwenye Melodic Beats Ambapo Sasa Hufanya Kama Kuimba Kwa Design Flani Kuliko Kufokafoka.
Mfano:Juice Wrld-Empty
Xxxtentacion-Sad
Navyo fahamu Juice WRLD aliimba Emo Rap hiyo ya Melodic Rap ndio naisikia kwako
 
List nzuri lakini, haijakamilika bila kumweka Future. Huyu jamaa ana hits nyingi sana kwenye discography yake, na ameinspire wasanii wengi unaowaona hapo juu akiwemo Juice WRLD.
Yeah Sure 100%.But anaweza Akawa Zaidi Ya hata Hao Kwenye List Wote.But Jamaa Ni Legend So Hata Kwenye List Asingefiti.Ni Wa Kitambo Na Influential Sana Ku Compare Na Walio Kwenye List.
 
Yeah Mko Sahihi Wote Wakuu..Chanzo Cha Jina Juice ilikuwa Ni Movie ya "Juice" Ambayo Tupac Alishiriki.So Juice Wrld Alichukua Hilo Jina Toka Kwenye Hiyo Movie Chanzo Kikubwa Kikiwa Ni Mapenzi Yake Kwa Greatest Rapper Of All The Time Bwana Tupac Amaru Shakur.

Lakini Ukija Inspiration Ya Kimuziki Sasa Hapo Ndipo Unaweza Sema Juice Alimkubali Mno Future.Naye Alishawahi Kukiri Pia Future Ni Role Model Wake Kimziki.Kitu Kimoja Kukielewa Ni Hivi...

TUPAC SHAKUR Ni Zaidi Ya Msanii Yaani Mchizi Anaweza Akawa Role Model Wa Kundi Kubwa La Vijana Hasa Wanaofanya Rap Music..Lakini Ukifuatilia Kiundani Zaidi Utakuja Gundua Vijana Wengi Ni Kwamba Wanaikubali Tu Lifestyle Ya Tupac Kuliko Hata Muziki Wake.Umaarufu Wake, Confidence Yake Kubwa,Kuwa Real na Pengine Hata Uhuni Aliokuwa Nao Ni Chanzo Cha Kukubalika Mno.

All in All Tupac Is The Best Rapper Of All The Time.
Ni kweli Tupac alikuwa na personality na charisma ya kipekee sana, and dude was oozing confidence, kwa hiyo jamaa alipendwa na watu wengi sana.

Vilevile kimziki alikuwa vizuri sana katika umri mdogo, maana mchizi alifanya mengi ukilingalisha na umri wake. Kiukweli dude was intelligent. Na ni dhahiri ameacha legacy kubwa even after almost three decades.
 
I know some of them names off that list, but couldn't tell you any of their songs. Any of y'all young bloods can help this old head with some of the bars from them cats that impressed you? Coz honestly, I feel them new school dudes is trash.
 
Yeah Sure 100%.But anaweza Akawa Zaidi Ya hata Hao Kwenye List Wote.But Jamaa Ni Legend So Hata Kwenye List Asingefiti.Ni Wa Kitambo Na Influential Sana Ku Compare Na Walio Kwenye List.
Hapo nimekuelewa vizuri, unaongelea muziki wa kizazi cha kuanzia 2015.
 
KiukweLi tekashibsijawahibkumuelewa naona nibmsanii anaebahatisha tu ila hao wengne wote kwangubni moto kidg juicy wurld namuelewa kwa nymb chache sana ila apo kwa XXX ,21,migos na wengne dah ni wakali apo ungemuweka na bwana mdg lil tjay
Tekashi kashapotea mpaka amerukwa na akili....ameanza kutafuta kiki za kijinga za kununua gari na kulipasua pasua...Watu wanamcheka ameflop.
Tekashi saivi hawezi kujaza ukumbi wa watu 100
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom