Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
Maneno yenye rangi nyekundu yamenifurahisha!!!!!!!
- Mara baada ya kupata taarifa hizo mgodi wa Mgodi wa Dhahabu wa North Mara uliwasiliana na mamlaka husika ili kuzihimiza kufanya uchunguzi
Viumbe vimeathirika kwa kunywa maji yenye "kiwango kidogo cha uasidi."
Ina maana kiwango cha uasidi kingekuwa kikubwa zaidi ndio bora, au?
Hii issue is more serious than it looks, PM Pinda kaona ndio serikali imezinduka, sasa kazi ya uchunguzi rasmi itaanza.
Pia msimlaumu ofisa wa Barrick kwa kutoa taarifa aliyoitoa, yeye anatimiza majukumu yake.
Ukiwa PR wa kampuni yoyote, you may have to compromise patriotism with professionalism. Kwenye professionalism, ni be professionnal forget everything else.
Nimeshuhudia madaktari wazembe wakipoteza maisha ya watu in the cover of professionalism. Watanzania tulalishwa sumu kila siku bila kujua in the name of investors.
Hapa ndipo tunapohitaji the true patriotic lawyers watakaowapigania wananchi wasio na kitu, na nawahakikishia kama kina Tundu Lissu na LEAT yao wakinterverne seriously na legaly, Barrick statement would not be the same again. Tuendelee kusubiri, time will tell.
Maneno yenye rangi nyekundu yamenifurahisha!!!!!!!
Kiwango cha Usaidi ni (Cynide)wanayo sema.Hili Jambo limekaaa kisiasa zaidi ya ukweli wa kawaida....Ukiangalia hiyo report ni ya kijiji kilichomba mbali na mgodi wa dhahabu wa North Mara ambao ni nyamwanga.Yes the river falls zinakwaenda mpaka uko na wao huja kulishia ng'ombe pande hizo?Kwanini watu wa nyamongo 2Km from mine site and 3-4 Km kutoka maji yenye cynide yalipo wasiathirike all that long?
Kuna kitu kinaitwa Rom pad 7km kutoka mgodi uliko lakini karibu na mashimo zinakichimbwa dhahabu ambako ndio maji hayo yapo....kila mgodi maji hayo yapo.Na yamehifadhiwa kwa ungalifu wa hali ya juu na kuwa monotored every day.Hatujasikia malalamiko haya...RESOLUTE NZEGA,BULYANHULU KAHAMA,GEITA MWANZA,TULAWAKA BIHARAMULO,WALA BUZWAGI KAHAMA.Ni Tarime tu!!!Hatujiulizi ni kwanini?Ina maana wa tarime tu barrick inaamua kuyamwaga kwa makusudi?Kwa mtizamo wa kawaida si kweli....
Ukweli ni kwamba intruders(wez wa mawe ya dhahabu)baada ya shimo moja kusimama uchimbaji wakawa hawana cha kufanya kwa kuwa wanategemea production iwepo ili na wenyewe waweze kupata mawe yenye dhahabu..sasa baada ya kukosa..wakaamua kutafuta kitu mbadala cha kuiba wapate kipato...see sasa wameiba carpet hilo a linalo zuia maji yasiingie ardhini na kuwa contaminated na maji salama yanayo tumika kwa matumizi ya binadamu.
Maji yakatiririka kwenda mtoni ng'ombe wakanywa.Binadamu kwa kweli sina uhakika....kwangu mie sijaona muathirika hata mmoja zaidi ya meneno ya mwenyekiti huyu....je hilo ni tatizo la nani?Wananchi ? au Barrick?Tungalie katika upanda wake hata hao walio iba....au kukata hilo carpet ni wananchi wa mbali na eneo la mgodi..hii naweza sema ni ukosefu wa uelewa..kwani wakijiji wa nyamongo wao hawajawahi fanya makosa hayo.Wanajua madhara.
Wanaposema kiwango kidogo cha Usaidi(cynide)ni kweli kwa kuwa cynide nyingi inakuwa imesha tumika kwa kazi yake...hicho kinachopelekwa uko ni kwa sababu ya kuhifadhiwa na kuendelea kuwa treated mpaka itakapo fika 0.00%.Na hii hufanyika kwa kuongeza maji mengi.
Hili Jambo limekaaa kisiasa zaidi ya ukweli wa kawaida....
Ukweli ni kwamba intruders(wez wa mawe ya dhahabu)...see sasa wameiba carpet hilo a linalo zuia maji yasiingie ardhini na kuwa contaminated na maji salama yanayo tumika kwa matumizi ya binadamu.
Maji yakatiririka kwenda mtoni ng'ombe wakanywa.Binadamu kwa kweli sina uhakika....kwangu mie sijaona muathirika hata mmoja zaidi ya meneno ya mwenyekiti huyu....je hilo ni tatizo la nani?Wananchi ? au Barrick?Tungalie katika upanda wake hata hao walio iba....au kukata hilo carpet ni wananchi wa mbali na eneo la mgodi..hii naweza sema ni ukosefu wa uelewa..kwani wakijiji wa nyamongo wao hawajawahi fanya makosa hayo.Wanajua madhara.
Wapi imesemwa habari ya "kiwango cha Usaidi"? Umepata wapi hicho kitu "usaidi"?Kiwango cha Usaidi ni (Cynide)wanayo sema....Wanaposema kiwango kidogo cha Usaidi(cynide)ni kweli kwa kuwa cynide nyingi inakuwa imesha tumika kwa kazi yake...
Buswelu,
Mkuu inaopnyesha wewe huelewi kabisa uzito wa swala hili badala yake unatafuta vijisababu bila kuelewa impact inayotokana na hazardous waste toka migodi ya dhahabu..
Unapohoji ukaribu wa kijiji hicho na mgodi una maana gani? yaani unaamini haiwezekani kwa sababu ati kijiji kiilicho karibu na mgodi ule hawajadhurika mkuu wangu kujenga hoja yako wakati sidhani kama unafahamu mifereji - Ephemeral drainage system wala dump area ya hizo waste za mgodi huo ziko wapi!.
Kwa Mtanzania huhoji ukweli wa taarifa kama hioi wakati ushahidi upo, watu wamekufa, mifugo imekufa leo unataka watu tuamini kwamba hakuna sababu.. Ndicho Barricks walichofanya wamekana vifo hivyo kutokana na waste zao lakini pia wameshindwa kutuambia sababu zilizosababisha vifo vya watu na mifugo..meaning uchunguzi wao ulikuwa hauna utaalam kabisa.
Huwezi kwenda fanya uchunguzi wa kisayansi kuhusiana na vifo, ukashindwa kupata sababu lakini uka rule out wastes zinazotokana na mgodi huo.. I doubt hao wachunguzi wetu ambao hawakusomea madini, wameweza ku identify AMD (Acid Mine Drainage) discharger na waste accumulations ziko sehemu gani kabla hawaja rule out hizo acidic mine waste kuwa ndio sababu.. kisha basi hiyo taarifa ya Barricks haikuzungumzia kabisa uchafu wa madini yao hupelekwa wapi ama hutupwa wapi..
Na kikubwa nilichoelewa mimi, Objective ya uchunguzi huu ulikuwa kukana/kufuta/kupinga madai ya wananchi hivyo uchunguzi ulikuwa na malengo ya kuwasafisha Barricks, badala ya kuchunguza na kutoa map ya mineralogy mine affected areas kuonyesha kwamba isingewezekana vifo hivyo kutokana na waste zao..
Sasa ebu tuambie ikiwa hawa watu hawakuona AMD wala kufahamu wastes ziko wapi utawezaje kujibu hoja hii ikiwa kila mgodi ni lazima uwe na dump area ya hizi wastes..
Yaani mifugo na watu wale wamekufa ghafla tu on natural causes sio!..Kisha basi wala sii swala la kwanza kwa Barricks.. Hivi sasa wana kesi kubwa sana huko South Amerika inayohusiana na maswala kama haya haya leo sisi tunajaribu kuficha ukweli kama tulivyozoea kuficha..
Ndio maana hata swala la Mapanki, tulikataa katakata kuwa hakuna kitu kama hicho wakati hali ilikuwa mbaya sana mkoani Mwanza..
Kwa akili zetu, hadi mzungu atokee na kutusema ndipo tunaweza kukubaliana.. damn!
Unawatetea Barrick halafu unakubali kwamba kuna viumbe vimekunywa maji yaliyoathirika kutoka mgodini. Sasa sijui kati ya tamko la Barrick na lako ni lipi la mwongo!
Wapi imesemwa habari ya "kiwango cha Usaidi"? Umepata wapi hicho kitu "usaidi"?
kwangu mimi maneno hayo yamenikera na yanaonesha jinsi gani hawa jamaa walivyo na kiburi,yaani mtuhumiwa aende akamhimize mwenye mamlaka ya kuchunguza amchunguze,afu yeye tena[huyu mtuhumiwa]atoe na taarifa????
na pia diwani,ambaye kwa mujibu wa taarifa hiyo,ndie aliandika barua kwa PM na nakala kuwatumia hawa wenye mgodi anageuka anasema walimnukuu vibaya,wakati ni yeye aliyeandika barua???????? soma hapa Barua hiyo ilidai kwamba watu 18 na zaidi ya ng'ombe 200 kutoka kata ya Kibasuka wilaya ya Tarime wamekufa kutokana na kunywa maji yenye kiwango kidogo cha uasidi ya mto Tigithe .
kuna nini kilitokea hadi huyu diwani akaikana barua aliyoandika???????
hawakufanya uchunguzi wowote zaidi ya kuissafisha barricks.. tumeyaona haya wakati wa Mapanki! hawana mpya siku zote miiko ya Mdanganyika ni pamoja na kutokubali makosa na kuomba radhi!