North Korea yaonesha 'MONSTER' ICBM, Kombora kubwa mnoo la kinyuklia, katika military parade

Rudi usome korea war,,North korea imeshapigana na marekani pamoja na washirika karibu 30,walichakazwa mpaka wakakubali suluhu,,technically bado wako vitani kwani kulikuwepo na cease fire tu,vita havikuisha
Safi sana kwa kumpa za uso
 
Hawa ndio funga kazi sema humu Kuna ushabiki wa kitoto ila miaka ya 60 USA walishaweka nyuklia war heads kwenye orbit Yani huyo Kim wanaweza kumfanya hakuna mpaka mkashangaa.hilo kombora ni teknolojia ya zamani sana
Hayo ndio maneno mliobaki nayo, ndio imeisha hiyooo
 
Vita vya kuonesheana ubabe vishapitwa na wakati. Marekani anapigana vita vya kiuchumi tu (una nini nije nipige nichukue).
Vita vina gharama sana na ukumbuke pia nchi ina mahitaji yake. Uchukue pesa kwenye hazina ukapigane vita halafu hakuna faida? Amka na shituka ngozi nyeusi. Tupo kwenye ulimwengu wa "imperialism"
Marekani inaongozwa na jopo la watu wakati nchi kama Iran, Russia, China, North Korea n.k zinaongozwa na mtu mmoja. Kiduku akifa hata leo, nchi ndiyo inayumba hivyo kwasababu yeye ndiyo master plan. Ni suala la muda tu. Trump siyo mbumbu wala mjinga na ukumbuke Marekani huwa hawachagui Raisi ilimradi Raisi. Kila Raisi ana majukumu yake. Osama alilipua jengo la Marekani kipindi cha Bush lakini Obama alikuja kumuuua Osama.
Marekani huwa hapigani vita vya hasara hata siku moja.
Jamani semeni ukweli kuwa: MAREKANI AKIONA NCHI HAIWEZI KUISHAMBULIA HUWA ANAINGIA MITINI, msilite sababu zisizokua na kichwa na miguu, kaona mziki mnene kakunja mkia
 
Nchi zinazoongozwa na akili ya mtu mmoja huwa hazina uchaguzi au zikifanya uchaguzi basi anateuliwa mtu yule yule kila mwaka. Mtu ana miaka 20 yupo madarakani na hakuna dalili ya kuachia ngazi mpaka afe. Iran, North Korea, Russia, China n.k zinaongozwa na akili za mtu mmoja kwahiyo nchi hizi huwa hazidumu ni suala la muda tu. Katika nchi hizi sheria huwa ni Raisi yaani sheria ndiyo raisi, raisi akisema fanya hivi wote wanafanya, hakuna kuuliza. Hapa ndiyo Marekani anawashinda kwasababu inaongozwa na jopo la watu na raisi anafuata maagizo tu.
Yupo wapo wapi Ghadafi na Libya yake? Cuba ya Fedro Castro bado ipo vile vile kama kipindi cha Fedro? Huyo North Korea au Iran ni suala la muda tu na usifikiri Trump ni mjinga. "All options are on the table" Ni suala la muda tu.
Mkuu bado una ndoto hizo? Dunia imebadilika sasaivi, vipi kuhusu kulipiza kisasi zile kambi za marekani zilizogeuzwa kifusi pale Iraq? Naskia Tramp baada ya kuskia kuna Missiles 1200 za Iran zinasubiri jibu litakalojibiwa na marekani aliishia kujibu (ALL IN HELL ) alaf akaghairi kujibu, nchi zote zilighari kutumiwa base zao kuishambulia Iran , usifanye mas-hara ww
 
Unafikiri kwanini Marekani yupo busy na Waarabu na Waajemi?. Hata ungekuwa rafiki yangu, unasema uje home tupige story. Na kwambia sipo nyumbani. Jaribu kuishi kama imperialist ndiyo utamjua Marekani vizuri. Kupigana vita kwa kuoneshana ubabe kumekwisha kupitwa na wakati. Marekani anachotaka ni mali yako tu na achukue bila kudhurika
Unafikiri Marekani alishindwa kuipiga Libya? All options are on the table
Soma First world war I & II na Great depression ndiyo utajua faida na hasara ya vita
Jamani semeni ukweli kuwa: MAREKANI AKIONA NCHI HAIWEZI KUISHAMBULIA HUWA ANAINGIA MITINI, msilite sababu zisizokua na kichwa na miguu, kaona mziki mnene kakunja mkia
 
Ungejua tupo kwenye ulimwengu wa capitalism (imperialism) wala usingeandika hayo maneno. Dunia imebadilika sana na usifikiri kuipiga Marekani halafu isiijibu mashambulio ukadhani umeishinda. Hiyo ni Big NO. Ni suala la muda tu. All options are on the table.
Cuba ya Fedro Catro bado ipo mpaka sasa? Ghadafi na Libya yake ipo mpaka sasa? Katika makosa makubwa sana anayofanya Iran ni kushirikiana na Russia na China.
Iran na North Korea zitakuja kupotezwa hautakaa haumini. Hapo ushawaza watapigana vita na Marekani. Hautakaa uone bomu lolote linatua Marekani hata siku moja na likitua Marekani, yule aliyelitega au kulirusha atatafutwa hata kama yupo chini ya bahari atakamatwa tu.
Hapo ulipo ukipewa visa ya Marekani na Iran, utaenda Marekani tu.
Mkuu bado una ndoto hizo? Dunia imebadilika sasaivi, vipi kuhusu kulipiza kisasi zile kambi za marekani zilizogeuzwa kifusi pale Iraq? Naskia Tramp baada ya kuskia kuna Missiles 1200 za Iran zinasubiri jibu litakalojibiwa na marekani aliishia kujibu (ALL IN HELL ) alaf akaghairi kujibu, nchi zote zilighari kutumiwa base zao kuishambulia Iran , usifanye mas-hara ww
 
Vita vya kuonesheana ubabe vishapitwa na wakati. Marekani anapigana vita vya kiuchumi tu (una nini nije nipige nichukue).
Vita vina gharama sana na ukumbuke pia nchi ina mahitaji yake. Uchukue pesa kwenye hazina ukapigane vita halafu hakuna faida? Amka na shituka ngozi nyeusi. Tupo kwenye ulimwengu wa "imperialism"
Marekani inaongozwa na jopo la watu wakati nchi kama Iran, Russia, China, North Korea n.k zinaongozwa na mtu mmoja. Kiduku akifa hata leo, nchi ndiyo inayumba hivyo kwasababu yeye ndiyo master plan. Ni suala la muda tu. Trump siyo mbumbu wala mjinga na ukumbuke Marekani huwa hawachagui Raisi ilimradi Raisi. Kila Raisi ana majukumu yake. Osama alilipua jengo la Marekani kipindi cha Bush lakini Obama alikuja kumuuua Osama.
Marekani huwa hapigani vita vya hasara hata siku moja.

Ni kweli Wamerika ni watu welevu sana, hata siku moja hawafanyi mambo ya kuwatia hasara - ndio maana walishinda vita ya VietNam na licha ya ndege zao za kuvita takribani elfu ishiri kutunguliwa na Wavietcong na kupoteza maelfu ya wanajeshi-kwa maoni yako hiyo unaichukulia kama sio hasara ni faida, kisa? Amerika ni Miungu wa Duninia therefore hawafanyi vitu kihasara hasara - I wish you knew.

Yaani mtu katumia wanasayansi wake vizuri kuimarisha ulinzi wa nchi yake halafu unasema eti ni upupu? Unataka nchi zoote duniani ziwe zinaagiza silaha usa, israel na urusi tu?

Hata ikitokea leo kuna raisi awe kutoka upinzani au chama tawala akija na sera ya kurutubisha uranium nitamuunga mkono kwa 100%

USA yeye ni nani akae na silaha hizo halafu wengine wasiwe nazo? Eti kwa kijisababu kuwa yeye anao uwezo na utashi wa kukaa na silaha hizo na asizitumie vibaya!! Mkuu kwa andiko lako umeniangusha

Si ndio hapo mkuu, binafsi ushangazwa sana na baadhi ya waswahili ambao wana kawaida ya ku-support siasa/ubabe wa Merikani blindly - Taifa gani ambalo halitaki Mataifa mengine yajihami dhidi ya udhalimu wao, Taifa lililo kubuhu kwa silika ya ubinafsi ulio pitiliza mipaka na ukosefu wa utu - hawataki Mataifa mengine yamiliki mabomu ya Nuklia wanatoa visingizio vya kutunga tu wakati wao ndilo Taifa pekee Duniani lililo wahi kuuwa binadamu wengi kwa mabom ya nuklia wakati kila MTU mwenye akili timamu anajua hapakuwepo sababu za msingi zaj kuwaua Wajapan wakati Wamerika walisha ambiwa na Ubalozi wa Sweden kwamba Serikali ya Japan inataka ku-surrender, sasa nini kilitokea baadae: America kwa kutaka kuwahi jeshi la Urusi (Red Army) lisiteke Japan wakitokea Manchuria China ndio Wamerikani wakakata shauri ya kudodosha mabomu mawili ya Atomiki (Nuclear) ili kuwatisha Warusi, in other words lengo la Amerika la kudondosha mabom Japan lilikuwa ni la kisiasa zaidi namely wamtishe Stalin, ndio akili zao zilivyo they strive on vitisho na ku-blackmail Mataifa mengine ambayo hayana uwezo kijeshi.

Nikiona waswahili nao wanajitumbukiza kwenye harakati za propaganda za Kimerikani za kuwasema sema vibaya Wakorea, Wairan, Wachina etc nawashangaa sana.

Hivi Taifa Korea Kaskazini kwa mfano, inawakwaza nini wakazi Barani Afrika - hakuna!! Sasa Korea kaskazini INA kosa gani kuunda silaha za kulinda Taifa lao dhidi ya udhalimu na ukoloni mambo leo wa Merikani, sisi hilo linatahusu nini mpaka tunafikia hatua ya kuchukia utawala wa Korea Kasikazini?
 
Nathibitisha US hana mobile ICBM,watu tuko well informed bana,miaka miwili nyuma walianza kufikiria kurudisha mobileicbm lskini bado hawajaunda
Narudia acha fix....kuna muda uwe na hofu sio kila wakati unaongea ongea uongo... America ni kitu kingine kabisa tofauti na akili yako unavyowaza....sio kila mipango ya jeshi au siri za jeahi la america zitakuwa mtandaoni we unahisi usa wao wajinga sana kuliko wewe.... Kula kande zako ukalale America inaangalia dunia miaka mia america itakuwaje sio wewe ambaye hata ijumaa ijayo hujui itakuwaje...
 
Bwana mdogo mbona kama umepanick?,wewe ni mmarekani nini?,anyway humu unapobisha kitu,unabidha kwa kuweka ushahidi,iwe link au picha,😂😂.
Sasa we unabwatuka kama tumegombana banah,,
Hebu weka link tuone
 
Rudi usome korea war,,North korea imeshapigana na marekani pamoja na washirika karibu 30,walichakazwa mpaka wakakubali suluhu,,technically bado wako vitani kwani kulikuwepo na cease fire tu,vita havikuisha
Ukweli ni kwamba bila china na russia kuingilia north korea ingebaki stori.south Korea bila Us ingesha futika.korea kaskazin ilikuwa kwenye nafasi nzuri ya kishinda vita dhidi ya kusini kwa sababu uchumi wote ulikuw kaskazin.
 
N Korea ni kama Israel kiaina flani hivi.
Ufanano wao ni kuwa wanaishi kwa kukingiwa kifua na wababe wa Dunia.

Siku wahisani wakiacha kuzikingia kifua hizi nchi mbili zitakuwa nothing kabisa.

US + western Europe wako nyuma ya Israel wanaipa unconditional support.

China + USSR(RUSSIA now) wako nyuma ya n. Korea wanaipa support ya kutosha.

Ikitokea siku hao patrons wakiwatelekeza hizi nchi zitakuwa za kawaida Sana.

During Korean War kama sio CHINA NA RUSSIA kuingia vitani kulinda N. Korea Leo hii hii nchi ungekua under US.
Sio under Us tu mkuu ingekuwa nchi ya 7 au 8 kiuchumi duniani.
 
Back
Top Bottom