North Korea yaonesha 'MONSTER' ICBM, Kombora kubwa mnoo la kinyuklia, katika military parade

Usijadili kitu usichokijua.

Nimeweka rejea kwa wasiofahamu kama wewe, nenda kasome kwanza.
Ndio nikakwambia kichwa chako fuvu kwa hayo maswali unayouliza wakati taari huko juu jibu ulishaliunga mkono kwa kutoa comment, unajifanya unajua kumbe kichwani empty
 
Yawalipukie mara ngapi?

Rejea mlipuko wa mwaka jana nchini Urusi kutokana na kufeli kwa jaribio la nuclear-armed cruise missile.
Mlipuko ulioua watu watano sijui. Wakati hapa nchini mwaka huohuo gari la mafuta liliua zaidi ya idadi unayoijua. Ajari kazini kwenye test site
 
Back
Top Bottom