Hata wewe jina hekima kabisa.
Huwezi ukasema Kim Jong- Un, apigwe wakati wewe mwenyewe unalilia USA afanye maamuzi.
USA mwenyewe hajielewi yupo analialia kule Ulaya na Asia akitafuta huruma.
Kwa nini , usijiulize nani anayemkataza USA, Russia , Germany and the likes kuwa na hizo silaha!? Mbona na wao wanazo tena nyingi!??
Kim Jong-Un na NK hawajawahi kuripua hata kijiji cha nchi jirani ila USA kaua millions of people almost across the globe.
Ila vita haitakuwepo, na hata ikitokea Kim Un, ataua watu wengi usifikilie kuwa Japan na South Korea, zitakuwa salama hiyo haipo ni lazima wataumia tena sana.
USA , anawapa Kichwa huku nchi yake iko mbali kidogo.
Waza vizuri Boss.