North Korea sasa inastahili ichapwe

North Korea sasa inastahili ichapwe

Tatizo bwana mdogo Kim hana nidhamu!!!! Mbona nchi nyingine hazina kiherehere kama yeye.
Mbwembwe zooooote za Kim nchi ina jumla ya barabarani za lami za kilometa 728 tu!!! Mpuuzi kabisa Kim!!Source: Aljazeera
Usiwaamini Aljazeera, CNN, BBC na wengne, vibaraka wa propaganda za magharibi.....tumia akili yako, kamwe usiwaze kuwa US anapenda saaana maisha yako, utapotea sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gadaffi hakuwa na nguvu na uwezo kama wa dogo ndiyo maana alipigwa kizembe.
Hakuwa na silaha za hatari wala hakuwa na viwanda vya silaha
Na hicho ndicho wanachokitaka wamarekani. Yaani wakiamua kukuvamia, usifurukute. Ndio maana wanalaani sana wenzao kutengeneza na kumiliki siraha zenye uwezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ondoa uzi huu, upo chini ya kiwango sana.... unawezaje kumuhukumu Kim na kumwacha huyo nguruwe US anaemiliki kila aina ya silaha za maangamizi, na sik kumiliki tu bali anazitumia dhidi ya binadamu. NK amewahi kumvamia nani? Amewahi kumpga nani kwa silaha za maangamizi?

Ni vita baridi hii.Ni kweli US kashauwa watu wengi na mabomu yake ila kuna namna fulani ya udhibiti wa makombora ya US ila NK sidhani kama kuna udhibiti wa kutosha.Kim anaweza kuamka vibaya akakinukisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ondoa uzi huu, upo chini ya kiwango sana.... unawezaje kumuhukumu Kim na kumwacha huyo nguruwe US anaemiliki kila aina ya silaha za maangamizi, na sik kumiliki tu bali anazitumia dhidi ya binadamu. NK amewahi kumvamia nani? Amewahi kumpga nani kwa silaha za maangamizi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku Kim atakapoua ndo utaukumbuka uzi huu.
 
Fikiri vizuri !!! ICBM ya North Korea inaweza kutupwa Calfornia!!!! USA ameshaliona hilo!!!! Kwahiyo usidhani Japani na South Korea ndio pekee walio kwenye risk.


Naelewa, ila nimejaribu kurahisisha mada kwa ajili ya mleta Uzi aelewe vizuri maana nimegundua kuwa yeye haoni hatari ya North Korea kwa uwezo wake ataweza kuifyatua USA, Japan na South Korea.
 
Bwana Panki yeye awe punished kwa kutuulia samaki wetu and other aquatic organisms baharini ...sio kingine [emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app


Samaki hawa ambao China, Vietnam na Singapore kila siku wanavua wanapeleka kwao.

JPM, aliwakamata na samaki , ila umu humu Tanzania wenzentu wakamzunguka JPM wakadai serikali ilipe 6B na bado watu wanamwandama JPM kuhusu samaki na wakati wanafiki tunao humo Tanzania.

Any way, let Kiduku kill all of the aquatic animals, including USA, Japan and South Korea all of them they are fishes.
 
Hakuna vita hapo, huo mgogoro upo hapo kwa maslahi ya Marekani upande wa pili.
Unadhani leo NK ikawa sio tishio Japan na South korea watanunua mabilioni ya silaha za Marekani kwa kazi gani?!
izzo nankumene
SASA hivi Japan wanampango wa kununua land based ballistic missile defense system kuongezea kwe systems zilizopo
 
nasubiri tu hio siku Ambayo NK Ataattempt kurusha hilo dubwana kuelekea marekan
 
nasubiri tu hio siku Ambayo NK Ataattempt kurusha hilo dubwana kuelekea marekan


Mbona na USA harushi ICBM au hata risasi tu kwenda North Korea!?

Kim Jong-Un, siyo wa kisportsport!!
 
Mbona na USA harushi ICBM au hata risasi tu kwenda North Korea!?

Kim Jong-Un, siyo wa kisportsport!!
haijawahi promise hilo bt kim amepromise kurusha kwenda marekan
 
Nyie sijui mnanini mbona USA ana silaha zake nkibao?
Acheni woga we need peace mataifa yote yataheshimiana iwapo [HASHTAG]#repect[/HASHTAG] itawepo baina yao. Kuachia taifa moja litawale hi dunia huo ni utumwa.
 
haijawahi promise hilo bt kim amepromise kurusha kwenda marekan

Kim Jong-Un yeye kasema anatengeneza linalofika huko ndani kabisa. Na anasubiria hata jiwe tu liguse ardhi ya NK ili USA iwe magofu kwa mziki mnene wa ICBM.
 
LAZIMA DUNIA IWE NA BALANCE OF POWER.SIRAHA HATARI WABAKI NAZO HAO HAO WACHACHE ILI KUWEPO NA HESHIMA DUNIANI
Balance of power ni muhimi sana ukiwaachia huyo mwewe atawale dunia hali itakua mbaya sana yani uonevu ambao haujawahi tokea tangu himaya zote zilizotawala dunia
 
Kim Jong-Un yeye kasema anatengeneza linalofika huko ndani kabisa. Na anasubiria hata jiwe tu liguse ardhi ya NK ili USA iwe magofu.
sio kutengeneza tu kasema atastrike na kugeuza US kuwa jivu
 
Back
Top Bottom