Huyu Kim Jong Un, sidhani kama ana ICBM kweli yenye range ya kuweza kutua west coast ya US kama anavyotaka dunia iamini.
Alivyo na mbwembwe kama kweli angekuwa nayo, angesharusha hata moja likatua pwani ya Hawaii.
Mimi nahisi ni mikwara tu ya kutaka aogopwe na maadui zake ambao nao kwa kutokuwa na uhakika na hilo, wanamgwaya ila huyu one day itakujakujulikana kuwa alikuwa ni nothing but "The Kibisa Snake". Time will give us the answer.