North Korea sasa inastahili ichapwe

North Korea sasa inastahili ichapwe

USA the capitalist.Lengo kubwa ni kufanya mvutano huu kuwa fursa ya kibiasha na si vingnevyo.Mkampuni ya ulinzi ya marekani hisa zao zimepanda mara dufu katika mvutano huu.Juzi marekani imepitisha multi billion deal kuwauzia silaha nzito S.Korea.Just connect the dots.Utajua huu mvutano unatizamwa kivingine sana kwa wenzetu.Sisi tutabaki kubishana tu humu kwamba nani mbabe sijui na nini.Ila mabepari wanafahamu nini wanafanya.
 
He don't know how to prioritize His National Issues!!! Kiongozi umekomaa na nuclear bombs wakati Wananchi wako wanaishi maisha ya umaskini wa kufa mtu!!! Dogo Kim Pumbavu sana kawawekea wananchi wake hadi style ya kunyoa!!!!! Anafanya human experiment!!! Huyu ni muuaji!!! Hastahili kuwepo kwenye dunia hii ya leo iliyostaarabika.

pitia uliyoyaongea,anzia ya kizungu afu hayo ya kiswahili alafu jiulize kama akili yako haina tofaut na akil za akil za bashite mwenzako wa kolomije...rejea ID yako
 
Unaijua USA?? Kim anachezea sharubu za simba!!! Atakiona cha moto!!!!
Tatizo ni kwamba hata kama una risasi milioni moja, ni risasi moja tu inatosha kukuua! Japo Marekani anazo silaha nyingi za nuklia lakini bomu moja tu la hydogen likielekezwa kwake linatosha kumsambaratisha! Atalazimika tu kuwa mpole! Ndiyo maana saa hii anailazimisha China imsaidie kumdhibiti dogo! Yeye keshashindwa!
 
Kwa kitendo cha kibri cha Rais wa Korea Kaskazini cha kutest hii leo Hydrogen Bomb ambalo lina nguvu kubwa zaidi ya Atomic Bomb anastahili adhabu kali kuliko zote zilizowahi kutolewa Duniani. Trump na jumuiya ya kimataifa wamemvumilia sana bwana mdogo Kim Jong Un lakini sasa kanyea mbeleko.

Enough is enough North Korea Must be punished Severely!!!! No matter what!!! Dunia nzima including Tz tutakuwa hatarini kwa sababu ya mpuuzi Kim!!! Tatizo la kuwapa madaraka makubwa vijana wa umri mdogo kama Kim Jong Un unajidhihirisha wazi;

Bwana Kim kakosa busara na adabu anastahili kuchapwa tu kwa gharama yoyote . Tusubili kauli ya Trump the World Chief of Defensive Forces. Bwana mdogo Kim achapwe hadi chumbani kwake anakolala.
Mbona hamjaribu mpaka Leo kumpiga mkuu mnahofia nn...maana vitisho tu tumewachoka tieni mguu basi mupate aibu duniani[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom