Nondo za Ujenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nondo za Ujenzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by killo, Aug 14, 2011.

 1. killo

  killo JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Mhusika tafadhali naomba ufuatilie swala hili kwa umakini.
  Nondo za ujenzi ni muhimu sana na hasa pale inapokuja wakati wa kumwaga zege kamilifu lakini.

  Kuna habari inayoendelea mtaani ( kutola kwa mafundi waashi ) kwamba ukinunua nondo ya size yoyote na kuipima urefu utakuta imepungua kati ya futi 1-3, mhusika tbs tafadhali tuangalizie hili
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu siyo ukisikia mimi imenitokea kawaida ya nondo huwa ni futi 40 lakini nilipo pima nilikuta 28na cementi huwa ni kilo 50 nilipopima nikakuta 45 au 46, ukinunua bati uwana kuchanganyia mfano gaji 30 na 32 hivyo kwa wanao talajia kujenga kuweni makini...nchi hii ni ufisadi kila kona
   
Loading...