Nomba mwenye taarifa ya majibu ya usaili wa mahojiano DART atupe

King Shebby

Member
Apr 21, 2016
12
3
Usaili wa mahojiano uliofanyika tarehe 26.05.16 pale chuo cha usafirishaji (NIT) kwa kada mbili za Customer Support and Accountant matokeo yake vipi?

Kwa taarifa za awali zilizotolewa siku ya usaili matokeo yangetoka ndani ya wiki moja na watakao faulu majina yatawekwa mtandaoni (DART website) na kupigiwa simu kwa wahusika pia.

Kwa wengine tunategemea kupata kutumia mtandao ili tujue mbivu na mbichi, wadau kwenye uwanja huu mnaweza toa fununu kuhusu hili jambo. Mwenye taarifa kuhusu mchakato huu endapo umekamilika au veepee........

.....Naomba kuwasilisha...
 
Kama walisema watakao faulu watapewa taarifa na wewe hujapata taarifa yoyote kutoka kwao........ tafakari chukua hatua
 
Veepeeee................... naona Ufesibuku unakusumbua wanakuja Kukujibu Joined: Apr 21, 2016
 
Customer support nafasi sita watu waliitwa mia nane.. Hapo wakubwa wana ndugu zao... Mengine ni kumuachia Mola
 
Back
Top Bottom