Majibu yanatoka lini kuhusu hatua nyingine ya Usaili wa Mahojiano TRA?

Twaqu

Member
Jun 26, 2022
15
29
Habari wana JF

Naomba kujua kuhusu hizi Interview zinazoendelea na ambazo zimekwisha fanyika za Written kuna mwenye taarifa majibu yanatoka lini kuhusu hatua nyingine ya Usahili wa Mahojiano (Oral Interview) au hakuna?

Nawasilisha.
 
Habari wana JF

Naomba kujua kuhusu hizi Interview zinazoendelea na ambazo zimekwisha fanyika za Written kuna mwenye taarifa majibu yanatoka lini kuhusu hatua nyingine ya Usahili wa Mahojiano (Oral Interview)au hakuna?

Nawasilisha.
Tangazo la TRA ,halijakaa poa kabisa Kuna weza kukawa na oral au laa,hawajafafanua na hata baada ya written hawakusema hatua inayofuata km wanavyosema utumishi
 
Kitu sijaelewa hapa Ratiba inasema 24/9 na kuendelea haijascpecify mfano Written itafanyika siku hii na Oral itafanyika siku hii lakini pia hapo hapo Tangazo linaonekana(sina uhakika)kama kuna Written tu na baada ta hapo waliofaulu watapangiwa vituo vya kazi
IMG_9617.jpg
 
Kitu sijaelewa hapa Ratiba inasema 24/9 na kuendelea haijascpecify mfano Written itafanyika siku hii na Oral itafanyika siku hii lakini pia hapo hapo Tangazo linaonekana(sina uhakika)kama kuna Written tu na baada ta hapo waliofaulu watapangiwa vituo vya kaziView attachment 2763923
Nachojua Written then oral au written, practical theb oral kwa baadhi ya kada ni taratibu za kikanuni za mambo ya ajira serikalini, na SIO mapenzi binafsi ya taasisi husika
 
Kitu sijaelewa hapa Ratiba inasema 24/9 na kuendelea haijascpecify mfano Written itafanyika siku hii na Oral itafanyika siku hii lakini pia hapo hapo Tangazo linaonekana(sina uhakika)kama kuna Written tu na baada ta hapo waliofaulu watapangiwa vituo vya kaziView attachment 2763923
Kwa hatua mbali mbali
 
  • Thanks
Reactions: jb_
Haya mambo ya utafutaji jitahidi sana usiwe matarajio makubwa hata kama ulifanya vizuri kwenye interview maana baadae unaweza kujikuta una maumivu makubwa na ukaanza kulaumu taasisi kikubwa ulifanya interview Fanya vizuri kw uwezo wako then jikite kwenye mambo mengine kama vile kutafuta matangazo mengine ya kazi kama umepangiwa kupata utapata tu
 
Habari wana JF

Naomba kujua kuhusu hizi Interview zinazoendelea na ambazo zimekwisha fanyika za Written kuna mwenye taarifa majibu yanatoka lini kuhusu hatua nyingine ya Usahili wa Mahojiano (Oral Interview) au hakuna?

Nawasilisha.
Leo majibu yenu yatatoka

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo ya utafutaji jitahidi sana usiwe matarajio makubwa hata kama ulifanya vizuri kwenye interview maana baadae unaweza kujikuta una maumivu makubwa na ukaanza kulaumu taasisi kikubwa ulifanya interview Fanya vizuri kw uwezo wako then jikite kwenye mambo mengine kama vile kutafuta matangazo mengine ya kazi kama umepangiwa kupata utapata tu
Ushauri mzuri, inaonekana jamaa alipiga pepa vizuri sana lakini ajue lolote linaweza kutokea.
 
Back
Top Bottom