Noma ya nini!!!

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
925
24797_1250918512921_1228237946_30599533_6676727_n.jpg



 
Hili tangazo la UNO safi kumbe nshajuwa wapi nimekosea mpaka sijapata maisha bora.
 
mh, huyo mtoto aliyebebwa ana miguu kweli?
Ipo ila naona imekingwa na mkono.
Hao ndo wachina wajenzi barabara na madaraja wakifanya mabo yao.....TWO In ONE- (wanakuja nchini kwa viza ya kujenga barabara/madaraja huku wakiwa wana-fertilize)
 
Hilo Tangazo wapinzani wameliona?? Linatosha kabisa kutumika kama kithibitisho kupinga matokeo ya uchaguzi iwapo CCM itashinda katika jimbo hilo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom