BABA YANGU NOMA.

BABA YANGU NOMA.

AFRIKAN GUY

Senior Member
Joined
Jun 26, 2015
Posts
102
Reaction score
110
Sijaona mtu anaekaribia ukamilifu kama Baba yangu.

Yaani yupo mbele ya muda saaana, Discipline yake ni ya kimungu sana.
Yaani ni kama kajiandaa Kwa Kila kitu, magonjwa, ukame, Kila tukio katika maisha Yake. Kuna vitu anaweza fanya Leo mkasema Sasa hio for what. Mtaelewa Miaka mitatu minne mbele. Au mnaweza msielewe kabisa.

Ana subra usiseme: watu wengi hua tuna struggle kua na subra wakati tunasubiri jambo Fulani, na hua inasababishwa kua bored, yaani kukosa cha kufanya wakati tunasubiri jambo Fulani.
Lkn mzee wangu hana hio.

Uwezo wa kuplan vitu vya Miaka ya mbele hatakama anajua anaweza asiwepo. Lkn akawa na passion as if atakuwepo. Nikisema Miaka ya mbele naamaanisha mbele mbele kuleee.

Anapenda kusema wanangu maisha ni magumu sana, Kesho yetu ni mbaya sana. Na anamaanisha.

Nimegindua ana purpose kubwa kuliko yeye mwenyewe. Na anaitumikia since day one.

I call him Magufuli
 
I call him Magufili.
ok. 🐒
 
Ushakuwa mkubwa tafuta vyako sasa usisubiri dingi afe,maana mitoto ya Dar kuolea kwenye nyumba ya dingi inaona sawa huku ikiombea dingi avute
 
Mzee anaweza akawa mbele ya muda,kiuwekezaji nk
Je likitokea la kutokea nyie
Watoto mtaweza kuendeleza legacy yake ?????

Ova
 
Sijaona mtu anaekaribia ukamilifu kama Baba yangu.

Yaani yupo mbele ya muda saaana, Discipline yake ni ya kimungu sana.
Yaani ni kama kajiandaa Kwa Kila kitu, magonjwa, ukame, Kila tukio katika maisha Yake. Kuna vitu anaweza fanya Leo mkasema Sasa hio for what. Mtaelewa Miaka mitatu minne mbele. Au mnaweza msielewe kabisa.

Ana subra usiseme: watu wengi hua tuna struggle kua na subra wakati tunasubiri jambo Fulani, na hua inasababishwa kua bored, yaani kukosa cha kufanya wakati tunasubiri jambo Fulani.
Lkn mzee wangu hana hio.

Uwezo wa kuplan vitu vya Miaka ya mbele hatakama anajua anaweza asiwepo. Lkn akawa na passion as if atakuwepo. Nikisema Miaka ya mbele naamaanisha mbele mbele kuleee.

Anapenda kusema wanangu maisha ni magumu sana, Kesho yetu ni mbaya sana. Na anamaanisha.

Nimegindua ana purpose kubwa kuliko yeye mwenyewe. Na anaitumikia since day one.

I call him Magufuli
Umeusoma huu uzi?
 
Kwa hiyo babayo ni boya tu mbele ya Magufuli a.k.a Magumashi?
 
Hii ni mentality ya kimaskini
Ngozi nyeusi mirathi huwa inawavuruga. Kwa hiyo dogo bora uanzishe mapema mji wako kwa kumuomba mzee akuwezeshe na sio kuzunguka zunguka na taulo asubuhi kwenye mji wa mzee.
 
Ushakuwa mkubwa tafuta vyako sasa usisubiri dingi afe,maana mitoto ya Dar kuolea kwenye nyumba ya dingi inaona sawa huku ikiombea dingi avute
Sisi kwetu hakuna mwenye chake. Ikitokea mtu anasubiri dingi afe, basi ni kwasababu za kisiasa na Sito swala la mali.
 
Ngozi nyeusi mirathi huwa inawavuruga. Kwa hiyo dogo bora uanzishe mapema mji wako kwa kumuomba mzee akuwezeshe na sio kuzunguka zunguka na taulo asubuhi kwenye mji wa mzee.
Familia za kimasikini Ndio hua hivi...

Umaskini wa kifikra ukichanganya na wakifedha ni bonge la bomu.
 
Hata kama hela hana Ndio hospital ..?? Naamn mzee alitaka kuwafundsha kitu
 
Back
Top Bottom