Noma,nou'rma??????

Noma,nou'rma??????

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,242
Reaction score
1,429
Hili neno noma lipo kwenye msamiati wa kiswahili lilianzia wapi?tujuzane jamani
 
Hili neno maana yake ni hatari, hali si shwari, mikikimikiki, tafrani, mswano. Chimbuko la neno hili la kiswahili ni ibuko au neno la msimu na hasa likitumiwa na vijana na lilichochewa sana kuenea na gazeti pendwa la SANI katika ucheshi wa kiswahili. Ni ubunifu wa maneno ya msimu kama chakachua, ndukinaa, etc. Naomba kuwakilisha
 
Back
Top Bottom