Insabhunsa Gusa
Senior Member
- May 13, 2011
- 109
- 88
Wataalam,
nawezaje ku block unwanted calls kutoka kwa mtu ambae analeta usumbufu kwenye simu niliyoitaja hapa juu. Yaani nataka akipiga isomeke sipo hewani!! Maana ni kero sasa. Naomba msaada na si karaha.