hii topic ingekua nzuri kama ingekaa kule kwenye dini,haya wewe
OTIS unaelewa maana ya jina lako?ngoja nikusaidie. Oh The Illuminati Sucks,so angaliaga majina mengine,waweza kuona mleta mada ni EMPTY kumbe na wewe linakuhusu,OTIS ni kutoka kwa jayZ na Kanye,FM huficha zaidi maana ya jina na maneno kama OTIS,achilia mbali jina la mtoto wa jayZ,IVY yaani illuminati very youngest.
kuhusu watu wengine kuingia fm kunatuhusu hata ambao hatujaingia kwan inachochea hasira ya Mungu.
ni mtazamo tu