NOKIA Ni Freemasons: SIKUJUWA!!


Na mie nakuja na hii sasa kuhusu Freemason

Free = Bure
Mason = Fundi mwashi / fundi kujenga

Freemason in this case is Fundi mwashi / kujenga wa bure
 
story za ajabu,kweli kweli,ni dalili za mchoko wa fikra,ndio m,aana kina Kibwetere waliwapata wengi kule Uganda,
 
anzisheni na thread ya apple maana na lile tunda hawa (eva) alimpa adamu akala kipande likabaki tunda tukapata apple
 

mwali ni freemasons kabisa ona

mwaah- kiss
lee- jet lee

mwaahlee
tunapata mwali
 
Kuna mambo yanatia hasira we acha tu..

Tatizo watu wanaposhindwa kupata majawabu ya matatizo yao wanakuja na mambo mengi complicated, ni sawa na mwanafunzi amefeli unamwambia kwanini umefeli anakujibu wale waliofaulu wameiba mtihani wakati hata wasingeiba bado matokeo yapo palepale. Na ndio hii issue ya freemason, mtu akipata hela wengine hawana au wameshindwa kuwa kama yeye jibu rahisi jamaa freemason
 
hata mukitukana lakini ujumbe ushafikaaaa!!
 
Yan wayu wenhine sjui wanawazaga nn.mtasemabkila kitu freemanson kwa mtindo huo kila kitu under the sun ni freemanson shauri yenu maisha ndo hayahaya haya tupeni hizo simu zenu tutaziokota na tutazitumia bila shida yoyote life linasonga mbele.
"AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO"
 
mhhh mi napita tu kama nipo kwenye Spam Folder
 


Waswahili walisema jambo usilolijua ni usiku wa kiza.

Kwa taarifa yako Nokia ni mji mmoja mdogo ulioko Finland jirani na mji wa Tampere. Huko ndiko kiwanda cha Nokia kilipoanzishwa enzi hizo kilikuwa kiwanda cha viatu na baadaye cha matairi kabla ya kuingia kwenye Hi-tech na kutengeneza TV na mwishoni simu. Kauli mbiu ya Nokia ni 'Connecting people' (kuunganisha watu), ndiyo sababu ya hiyo mikono inayoonekana kwenye simu zote za Nokia. Lugha ya kifini haifanani kabisa na kiingereza na kwa hakika haifanani na kikorea... Na wafini walio wengi, hasa wa zamani walikuwa hawaongei kabisa kiingereza. Wafini wanasoma mpaka kiwango cha vyuo vikuu kwa kifini. Mkuu hiyo tafsiri yako ina walakini!

Cheki link hii

Nokia Map - Finland - Mapcarta

Ni kama sisi tuanzishe kiwanda Chalinze cha kutengeneza matairi ya Chalinze na baadaye tuhamie kwenye simu tuziite Chalinze.
 


Finland ndipo makao makuu ya NOKIA, sasa name translation umetumia vigezo vipi kutuaminisha iyo kitu?
 
Hivi unatania au upo serious.
Kama ndio uwezo wako umeishia hapo basi unahitaji kumuona dakitare.

hii topic ingekua nzuri kama ingekaa kule kwenye dini,haya wewe OTIS unaelewa maana ya jina lako?ngoja nikusaidie. Oh The Illuminati Sucks,so angaliaga majina mengine,waweza kuona mleta mada ni EMPTY kumbe na wewe linakuhusu,OTIS ni kutoka kwa jayZ na Kanye,FM huficha zaidi maana ya jina na maneno kama OTIS,achilia mbali jina la mtoto wa jayZ,IVY yaani illuminati very youngest.kuhusu watu wengine kuingia fm kunatuhusu hata ambao hatujaingia kwan inachochea hasira ya Mungu.

ni mtazamo tu
 
Last edited by a moderator:
Hivi mtu akisema hakuna mungu unamtafsiri vipi?maana mungu wapo wengi mno ila uwezo ndio tofaut.so kama mtu anakuja na hoja ya hakuna mungu na sijui anamaanisha mungu yupi!siwezi bishana nae maana najua mungu wangu ambaye ni muwezo yote(YEHOVA)yupo daima.
ujumbe huu umeandikwa kwa NOKIA aka hakuna mungu.
 



Inaweza ikawa maana yake ndo hiyo sina uhakika, ninacho kijua mimi ni kuwa NOKIA ni jina la eneo moja wapo huko Finland na nimeshawahi fika hapo. Na hapo ndipo asili ya simu za NOKIA, ila asili yake siijui.
 
nashauri wadau tusiwe wepesi wa kupinga kila kitu hebu tujipe muda wa kuvichunguza kila mtu achunguze kwa nafasi yake.pia tusiwetu tunaparamia mada bila kuifikiria tukaanza kumkebeh mleta mada tena bila hoja.tusiwe kama tumetoka fesibuku

maneno haya unawashauri Watanzania au watu wengine tu...kama ni Wabongo basi unapoteza muda wako bure maana wengi ni wavivu wa kufikiri na wepesi wa kudanganywa....pekee wanachoweza ni kukopi na kupesti...
 
Kiukweli asilimia kubwa ya mahitaji yetu wanamiliki wao... hatuwezi kukwepa kutumia bidhaa zao... Cha muhimu ni kutojiunga / kutokuwa mwanachama baaaaaas!!!!!!!!


ndio maana nakupenda daughter...
 
Vitu vngne ni vya kufikiria kiutu uzma tu haina haja ya kwend darasan ila kw mawazo yako finyu ndio mana una post vtu finyu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…