Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,716
- 15,276
hahaha She has a boyfriend!?
yani huyo ndo type ya wa humu ndani wanataka iphone coz ni ya apple hawajiuliz zaidi ilimradi tu aonekane ana iphone
hahaha She has a boyfriend!?
kitu mipango u will get it mkuu! Just plan 4 it.
Ur right nimetumia sana Nokia nilitoka nikaingia Samsung windows na ipad lakin wapi Nokia hainitoki akilini...!mimi na Nokia Nokia na mimi,naifaham inanifaham. Nikishindwa sana sumsung,hizo simu zingine endeleeni.!
Labda mwakani...lakini sio leo.
lumia 920 is made for humans,,, iphon 5 segregates alot..
sure nakubaliana nawe!nokia mkari sana mi mwenye namkubari na wabongo tusikalili kuwa apple ndo mkali kwa kila kitu...
kuna feature phone na smartphone na kuna phone kwa ujumla. king wa future phone sio marekani wala nchi yoyote duniani ni nokiaYaani mkuu ucje sema hivyo Marekani coz utachekwa vibaya, Kamwe Nokia haiwezi funika iphone coz competition ya iphone hv sasa ni Samsung Galaxy s3 na HTC one X, "Nokîa + Microsoft=Complete Disaster. "
Yaaan kama huna research pita tu...! huoni ushahidi huo hapo juu kuwa nokia Lumia 920 inaizidi Iphone 5? Au ndo ubishi wa kitanzania? Nokia leads the world acha kuiga usichojua!Yaani mkuu ucje sema hivyo Marekani coz utachekwa vibaya, Kamwe Nokia haiwezi funika iphone coz competition ya iphone hv sasa ni Samsung Galaxy s3 na HTC one X, "Nokîa + Microsoft=Complete Disaster. "
kuna feature phone na smartphone na kuna phone kwa ujumla. king wa future phone sio marekani wala nchi yoyote duniani ni nokia
na smartphone ni samsung na iphone lakini 920 ndio first shot ya nokia na mpaka sasa ndio most inovative phone kupata kutokea duniani even imeipita iphone ya mwaka 2007
920 ina vitu ambavyo zimu nyengine hazina kabisaaa (sio wanavyo kidogo i mean hawana)
-wireless charging
-screen unayotouch na kitu chochote
-exclusive app kama city lens
-pureview yenye lowlight capture
-optical image stabilisation
-acessorie kama spika kubwa ya mezani na headphone (sio earphone)
then kuna vitu simu nyengine inavyo lakini nokia kawazidi
-simu zina hd nokia ana hd+
-wanatumia plastic na alluminium nokia ana polycarbonate
brother nokia ni next level hasa color yao mpya ya cyan masuper star wengi wameipenda now lumia ni simu za celebrity (zamani tulizoea iphone)
muone jessica alba kapendeza hajapendeza?
soon itakua hauitwi superstar hadi umiliki lumia:biggrin: (just joking)
sure nakubaliana nawe!
Yaaan kama huna research pita tu...! huoni ushahidi huo hapo juu kuwa nokia Lumia 920 inaizidi Iphone 5? Au ndo ubishi wa kitanzania? Nokia leads the world acha kuiga usichojua!
[h=1]AT&T will reportedly announce the Nokia Lumia 920 on Friday [updated][/h]By: Dan Graziano | Oct 4th, 2012 at 08:50AMHivi ishatoka hii? Nina maana ipo sokoni? Na bei yake imekaaje?
Hivi ishatoka hii? Nina maana ipo sokoni? Na bei yake imekaaje?
bei imetangazwa nchi tofauti za ulaya ni dola 800 lakini suprise india nokia wametangaza watauza dola 600 so naona labda africa wanaweza tuhurumia ikashuka.Hivi ishatoka hii? Nina maana ipo sokoni? Na bei yake imekaaje?
vp kwenye suala la ubora kwa nokia za ulaya ukilinganisha na za India?bei imetangazwa nchi tofauti za ulaya ni dola 800 lakini suprise india nokia wametangaza watauza dola 600 so naona labda africa wanaweza tuhurumia ikashuka.