Nokia Lumia 920 is better than the Apple iPhone 5

Nokia Lumia 920 is better than the Apple iPhone 5

Hapa watu watakimbilia jina tu iphone 5 nimejaribu kufananisha na hata experia s hawajaizidi kitu hawa apple
sure mkuu mie siku zote nawa underrate sana iphone na ukweli hawana jipya hata ukinipa bure nauza within a week nanunua Nokia N9, Lumia 800, Lumia 820 (bado ipo njiani), Lumia 900. Nokia 808 pureview hizi zote zinaizidi sana Iphone.
 
hii kalii, nimeipenda hii, nokia wants to maintain its technology strategies.. am impressed with the charging thing as wel as ....:A S shade:let me say everything,,:A S shade:
WiNDOWS PHONE 8 ni balaa huwezi fananisha na iOS 6 just imagine Windows Phone 7.5 au 7.8 ni hatari...! Iphone watawashika wasiojua Specs na performance.
 
Kizuri chajiuza. Je nokia outlets watu wakipanga folen kama kwenye Apple stores walivyofanya???
 
Kizuri chajiuza. Je nokia outlets watu wakipanga folen kama kwenye Apple stores walivyofanya???
Apple si mbaya but haina umuhimu sana kwa nchi za Africa moja, 2 bloototh yake unaijua? 3 file transfer bila pc unajua ugumu wake? 4 Apple's iOS haina jipya toka ilipo anza 4, 5 na hii ya 6 whats new ktk design?

Ujue wasiojua watapanga foleni lakini unajua Iphone 5 imesubiliwa kwa miaka mingapi toka waanze kuitangaza? cha ajabu imekuja chini ya kiwango kilicho tegemewa do you know this? Ever u used Nokia Lumia hata 800? umewahi kutumia Meego ya Nokia N9 utasema Iphone nzuri au just unajua hivyo Iphone ni nzuri?

Better have Galaxy S II or S III kuliko iphone 5 coz undroid wanajitaidi sana ktk apps.

Store ya ios ni kero kuliko Market ya Lumia. Nenda rudi ukija utakubari kuwa Nokia ni zaidi ya hiyo Iphone.
 
Paxman tatizo hujui unaongea nini. Lait ungejua nadhan usingetoa sababu ambazo hazina msingi kama izo. Au kama wewe ni sales man wa Nokia sawa. Ila in technology, design nokia wapo nyuma saana they have a long way to go ni bora hata ungeniambia HTC kwenye android au simu nyingine kuliko hixo unazosema. Pia nadhan umefiatilia maamuzi ya kesi btn apple n samsung......
 
Kizuri chajiuza. Je nokia outlets watu wakipanga folen kama kwenye Apple stores walivyofanya???

watu wanajipanga kununua iphon just bcoz of the companys distribution strategy,, i think u exactly know iphon imete3ngenezwa kwa ajiri ya nchi gani?? tz na nchi nyingine kibao hazimo kwenye mpango ndo maana chip zao sio standardized (ni ndogo). na nchi yenu inatumia mi line mikuubwa.. nimeeleweka?
 
Paxman tatizo hujui unaongea nini. Lait ungejua nadhan usingetoa sababu ambazo hazina msingi kama izo. Au kama wewe ni sales man wa Nokia sawa. Ila in technology, design nokia wapo nyuma saana they have a long way to go ni bora hata ungeniambia HTC kwenye android au simu nyingine kuliko hixo unazosema. Pia nadhan umefiatilia maamuzi ya kesi btn apple n samsung......
Glucky nadhan unahitaji shule ndefu mkuu! Nokia wana design za aina ngapi? na apple wanazo ngapi? Iphone3, 4, 4s na 5 zina design gani iliyo so different? iOS nimetumia sana nilikuwa na Iphone 4 mie naiweza kutokana na shughuli zangu but mtanzania wa kawaida itaiwezea wapi? mpaka sasa nina ipad 2 nayo mambo yakikaa sawa nauza ili nihamie Tablet inayokuja Windows 8 Surface. Ishu ya Sumsung na Iphone niliipata on the spot na haihusin na ubora wa Nokia Lumia 920.. okay nipe facts ambazo utanishawishi niamini kuwa iphone 5 ni nzuri kuliko Lumia 920..

Tusitafute mabishano marefu lets come with facts, vipi maps iphone wanaweza fanana na Nokia? is Iphone 5 charged wireless? iphone 5 inakuja kwa design ile ile like ipad na ipod...! keep investigating utaja nikumbuka ukiona iphone inazidiwa tena.... ki ukweli ina wapenzi wengi but ukweli haiwez kuifikia lumia 920 au hata lumia 900 tu ever you seen it?
 
Last edited by a moderator:
watu wanajipanga kununua iphon just bcoz of the companys distribution strategy,, i think u exactly know iphon imete3ngenezwa kwa ajiri ya nchi gani?? tz na nchi nyingine kibao hazimo kwenye mpango ndo maana chip zao sio standardized (ni ndogo). na nchi yenu inatumia mi line mikuubwa.. nimeeleweka?
AKON ni kweli iphone si kwa ajili ya world demand its for America. Ishu ya chip si ishu sana kwani hata Nokia Lumia 710, 800 na 900 pia Nokia N9 zote zinatumia micro chip so it seems kwa hapo badae simu zote zitakuja kwa mtindo wa Micro chip as technology goes beyond the scene. Na kwa hapa Tz Micro chip zipo Mlimani City nimeziona za Tigo AKON

Kubwa ni kwamba wengi kwa hapa East Africa Iphone tunanunulia mkumbo tu like wale BB....!
 
Last edited by a moderator:
kumaliza mabishano ingia hapa (Tanzania Classifieds | Tanzania Online Shopping) uone ni simu za aina gani watu wanauza kama second hand, hii itakuonesha kwamba wamezinunua kwa mkumbo but at the end wanakuta hamna jipya na haziko user friendly... iphone ni advert tu na mkumbo wa watu but conscious customers wanajua wanunue simu zipi na kwa nini!
 
Nokia ni user friend tofauti na iphone na pia most ya software zake ni free na specification za lumia 920 ndo vitu vinavyonifanya niwatrust daima tofauti na apple wako juu kwa advertisement kuliko utekelezaji kama UK media na timu yao ya Taifa
 
Kweli unajua simu wewe... wafuata mkumbo utasikia iphone 5 kisa matangazo na mbwembwe nyiiingi! Hamna jipya ktk iphone 5
 
Kweli unajua simu wewe... wafuata mkumbo utasikia iphone 5 kisa matangazo na mbwembwe nyiiingi! Hamna jipya ktk iphone 5

Wakati nlikwenda kununua experia s nlikuwa na rfk yangu yeye akanunua iphone 4s akawa ananishangaa mimi kwanini nanunua experia ambayo ilikuwa bei 1 na iphone 4s akatamani na mimi nichukue iphone nikamwambia sioni ndani ya iphone kinachozidi experia ila naona experia s imezidi iphone 4s vitu vingi hakuamini'tulipoanza kutumia alikuja kukubali kama iphone hakuna kitu akauza akanunua sandwitch samsung
 
Kuna rafiki yangu ana iphone 3 na 4 anaona kamaliza hakuna simu kama ile yaan anasema hizo ni nzuri kuliko Samsung Galaxy Note 7000 namshangaa bado haelewi...
Iphone have nothing zaid ya matangazo yao tu!
 
Back
Top Bottom