Nokia lumia 710

Nokia lumia 710

IRANDA

Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
10
Reaction score
0
Natumia Nokia lumia 710 lakini tatizo nililonalo ni kuwa nikitaka kuangalia salio haionyesha inakuja neno 'system terminated'.Pia hata nikitaka kujiunga na vifurushi mfano vya airtel siwezi kujiunga moja kwa moja kwenye simu nikipiga ile namba ya kujiunga linakuja tena neno hilo hilo 'system terminated'.
Kuna yeyote ambaye mwenye simu kama hiyo ambaye ameshawahi kupata tatizo kama hilo?
Kwa sasahivi nikitaka kujiunga na vifurushi ni lazima nitoe laini kwanza niweke kwenye simu nyingine ndiyo nijiunge
Nasubiri msaada wenu
 
ilikuwa hivyo tangu mwanzoni au ilikuwa poa na tatizo limekuja ghafla? na kama ulikuwa nayo muda au ndio umeinunua na tatizo?
 
Simu hiyo ninayo pia haikubali USSD codes

Mghosi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom