Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,279
- 44,416
Kaka hii kitu uliyo andika 4.2.2inamaana gani
version ya android. simu yako s3 inakuja na 4.04 ila inauwezo wa kwenda hadi 4.2.2
Kaka hii kitu uliyo andika 4.2.2inamaana gani
Kaka natumia hiiyo nokia lumia 520 kaka msaada please
mi natumia nokia tochi, sioni switch ya kuwashia tochi. msaada please.
Wakuu natumia hyo kitu lumia 520 ila nikijaribu kufungua hotspot lwa kupitia settng thn internet sharing inaandik service is currently unavailable sasa msaada wenu maana nahtaji sana hii huduma.
kaka nakushukuru ila hii kitu ulio niambia inauzwa je sina tembo card wa mastar card naweza ipataje
unatumia mtandao, gani? Kama Ni tigo sikuizi wamekuwa chenga wanabana kushare connection, nimetest kwenye wp8 na Ubuntu inazingua mpaka nitumie VPN (Ubuntu)
Bei ya kiwanja eka mbili na nyumba!!