Hansy wa East
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 446
- 232
Wakuu natumia hyo kitu lumia 520 ila nikijaribu kufungua hotspot lwa kupitia settng thn internet sharing inaandik service is currently unavailable sasa msaada wenu maana nahtaji sana hii huduma.
hiyo kitu inabei gani vile
Wakuu natumia hyo kitu lumia 520 ila nikijaribu kufungua hotspot lwa kupitia settng thn internet sharing inaandik service is currently unavailable sasa msaada wenu maana nahtaji sana hii huduma.
Hainaga hizo functions hiyo,,,Windows phone is pain in the a!$
Mimi nashindwa kuingiza nyimbo na vitu vingine kutoka kwenye pc yangu msaada jamanini
Kaka natumia hiiyo nokia lumia 520 kaka msaada please
Lakini pamoja na yote naomba kuku uliza jambo eti nimesoma sehemu kuwa Samsung galax 4 ina program ambayo bila kuiyangalia haiwezi fanya kazai je hii program siwezi kuweka kwenye galax3
Je naweza pata hiyo programs