Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

mkuu nahisi umeanza kutumia smartphone miaka hii 3 iliyopita,nokia sio simu tu anafanya bali ni vitu vingi anatengeneza ebu google neno "withings" utakubali vitu anavyodeal navyo nokia
Mkuu, Hapa tunazungumzia aina ya simu iliyopo sokoni au bidhaa zote za Nokia? Kuna sehemu nimetamka Nokia wana bidhaa mbovu? Anyway
Maswala ya kuanza kutumia smartphones nimeanza hata wewe haujavunja ungo.
 
Ningependa an unbiased comparison kitu ambacho najua siwezi pata toka site inayoitwa all about Symbian basically nokia fan boys watakuwa wana favour brand yao.
1. tafuta site unayopenda wewe inayoreview simu hizo
2. review ya jamaa ipo wazi hafichi kitu angalia hata kwenye comment huwa user wanaomiliki hizo huwa wanapost mini review zao
3. steve ni guru wa camera ameanza kureview zaidi ya miaka 10 iliopita wewe ndio wa kwanza kusikia unasema kuna bias, kuna hata kitu umeona kuna kidalili cha upendeleo?
 
I shall go for it Nokia Connecting people
 
mnakumbuka mwaka 2014 wakati iphone6 ikizinduliwa, watu walikesha wakiisubiri,lakini baadaye iphone 6 ikaanza kupinda, hivyo hivyo samsung note7 walininunua sana lakini ikawalipukia mifukoni, watu wanatamani wawe no1 kumiliki hili toleo la nokia
 
Hapo kwenye Adroid watatupata wengi coz tuliachana na Nokia kwasababu ilikua haina Android
 
team ya sales & marketing ya nokia wamedhamiria kuwabana mbavu iphone na samsung, tukumbuke kuwa mwaka huu iphone 8 na samsung S8 zitatoka ndio maana Nokia nae atakuja NOKIA 8 aka nokia supreme Ili kuiteka namba 8 sokoni
vita hii ya mauzo ndio iliyompa nafasi samsung kuuza bidhaa zake kwa mgongo wa iphone
iphone 3 vs S3
iphone 4 vs S4
iphone 5 vs S5
iphone 6 vs S6
iphone 7 vs S7
mwaka huu iphone 8 vs S8 vs nokia 8(kazi ipo)
 
nokia hupenda kuziita flagship zake kwa kutumia namba 8 toka zamani,

n8, nokia 808, nokia 800, n82, n86, etc
 
Ivi yale madude yao y symbian nn nn sijui yaliishiaga wapi? I thought wanakuja na kasi mpya kuwachallenge Google na Android yao. by the way Specs are awesome!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…