Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,241
- 44,315
- Thread starter
-
- #81
chukulia mfano wa magari, gari likiwa na tank kubwa la mafuta ndio linaenda umbali mrefu kabla mafuta hayajaisha?mhh najifunza kitu hapa ina maana ukubwa wa mah sio kigezo pekee cha ukubwa wa battery?
sim aina gani ina MAH ya 5000?Wangeenda up to 5000mAh...
Asante kwa ufafanuzi.chukulia mfano wa magari, gari likiwa na tank kubwa la mafuta ndio linaenda umbali mrefu kabla mafuta hayajaisha?
kuna magari vitank vyake vidogo tu kama vile vitz lakini hayali sana mafuta ila kuna magari kama land cruiser yana matank makubwa lakini mafuta yanaenda upesi upesi.
Tecno l 8sim aina gani ina MAH ya 5000?
sasa utashangaa hyo inaptwa na samsung j7 yanye 3000Mah, vers 5.0.1Tecno l 8
Windows Phone na iOS.Unaitumia Os ipi mkuu
Sent from mTalk using microsoft lumia 950xl
Mi niko window tu ila natamani niingie tena kwenye huu mziki wa nokia au nimsubir baba eti Bill gates na mzigo wa surface phone manake ni hatari sanaWindows Phone na iOS.
Chaguo lako tu mkuu.Mi niko window tu ila natamani niingie tena kwenye huu mziki wa nokia au nimsubir baba eti Bill gates na mzigo wa surface phone manake ni hatari sana
Sent from mTalk using microsoft lumia 950xl
Uko deepChaguo lako tu mkuu.
Mi naangalia zaidi customization na ecosystem ya platfom..
Hata mimi nasubiri flagship ndo niongee kuhusu NokiaDah embu nisubirie kwanza high end yao itoke ndio niongee lakini kwa kuangalia tu Nokia limebaki jina tu
Ziko nyingi Mkuu L8+ ina 5050Mahsim aina gani ina MAH ya 5000?
eka pureview camera tu tayari ushaifanya ipo level nyengineSioni Nokia akiwa tofauti kama zamani, vazi lake la Android hatakuwa na tofauti na wenzie akina htc, Samsung, Sony na wengine, tumeshuhudia blackberry alipovaa hili vazi la Android sikuona la maana lolote