Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,253
- 44,363
- Thread starter
-
- #261
labda used, laptop mpya ya laki 5 inakuwa na atom (braswell) ambazo cpu zake ni dhaifu sana hata simu ina afadhali.Nimerudi tena @Chief-Mkwawa me napenda kufahamu naweza kupata wapi laptop yalaki tano hapa mjini au duka gani naweza nikaenda nikapata laptop kiasi cha hiyo pesa nilio sema hapo mkuu samahani kwa usumbufu
Sisi Tunasafirisha mizigo/ bidhaa kutoka Zanzibar, kwenda mikoa yote Tanzania, Na kuhusu laptop zipo hadi za laki 3, niwewe tuNimerudi tena @Chief-Mkwawa me napenda kufahamu naweza kupata wapi laptop yalaki tano hapa mjini au duka gani naweza nikaenda nikapata laptop kiasi cha hiyo pesa nilio sema hapo mkuu samahani kwa usumbufu
kwaio naweza kupata laptop ya laki tano ila used maduka gani sasa hapo mkuu au naweza kupata laptop ya kiasi gani kwa kazi za kawaida tu hizilabda used, laptop mpya ya laki 5 inakuwa na atom (braswell) ambazo cpu zake ni dhaifu sana hata simu ina afadhali.
i3/i5/i7 ya generation za kisasa atleast 4th gen itakufaa.kwaio naweza kupata laptop ya laki tano ila used maduka gani sasa hapo mkuu au naweza kupata laptop ya kiasi gani kwa kazi za kawaida tu hizi
POA NIME KUSOMA KIINGINE NILIKUWA NAOMBA NIWE NA KOPI POST ZAKO NAKUWEKA KWENYE WEBSITE YETU MIMI NI NA WASHIKAJI ZANGU AMBAYO BADO HAJAANZA KUFANYA KAZI KWA SASA TUPO KWENYE MAANDALIZI YA KUJAZA VITU MBALI MBALI WEWE NI MMOJA YA WATU WENYE POST NZURI NAZAKUVUTIA SASA NILIKUWA NAOMBA MIMI KAMA MIMI NIWE NACHKUA BAADHI YA MADINI YAKO NAKUWEKA KWENYE MTANDAO WETU NA KIINGINE SIO MBAYA UKANIPA PIA SITE MBALI MBALI ZINAZO HUSU MAMBO YA SIMU NA KOMPYUTA KAMA INAWEZAKANA NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWAKOi3/i5/i7 ya generation za kisasa atleast 4th gen itakufaa.
maduka yapo mengi mitaa ya uhuru, likoma, na site za online kama kupatana na jumia
Exactly! Sijipatii picha ndani ya Android nakuaje[emoji276]
Kwani kuna watumiaji wa aina ngap mkuu?Ile iliyo leak specs zake ziko juu, maana inaingia kwenye ushindani na vitu vikali kama s8, iphone 8, htc11, mi 6 mix
Ila kwa laki5 hii itawafaa watumiaji wengi wa kawaida
Sijajua huwa kuna watumiaji wa aina ngapi kiujumla wake, ila mimi huwa ninaweka katika makundi yafuatayoKwani kuna watumiaji wa aina ngap mkuu?
Sawa unaweza kucopy,POA NIME KUSOMA KIINGINE NILIKUWA NAOMBA NIWE NA KOPI POST ZAKO NAKUWEKA KWENYE WEBSITE YETU MIMI NI NA WASHIKAJI ZANGU AMBAYO BADO HAJAANZA KUFANYA KAZI KWA SASA TUPO KWENYE MAANDALIZI YA KUJAZA VITU MBALI MBALI WEWE NI MMOJA YA WATU WENYE POST NZURI NAZAKUVUTIA SASA NILIKUWA NAOMBA MIMI KAMA MIMI NIWE NACHKUA BAADHI YA MADINI YAKO NAKUWEKA KWENYE MTANDAO WETU NA KIINGINE SIO MBAYA UKANIPA PIA SITE MBALI MBALI ZINAZO HUSU MAMBO YA SIMU NA KOMPYUTA KAMA INAWEZAKANA NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWAKO
Hii simu imekuwa around watu tushaona review zake and most reviewers say its crap but thsts what you get for the pricrKampuni ya HMD global leo imezindua simu mpya ya Nokia 6 huko china.
Nokia 6 Specifications:
- 5.5-inch FullHD screen (2.5D glass, Gorilla Glass 3)
- 154 x 75.8 x 7.85 mm (camera bulge 8.4 mm)
- Qualcomm Snapdragon 430
- 4GB RAM
- 64GB internal + MicroSD
- 16MP back and 8MP front camera
- 3000mAh
- Dolby Atmos
- 6000-series aluminum unibody
- Android 7.0 Nougat
bei yake ni dola 245, around 540,000 za kitanzania. ila kwa sasa imezinduliwa china tu masoko mengine bado
Hiyo 430 ni karbu sawa 810 isipokuwa haihandle vixur gaming especially 3d gamingIpo vizuri kila kitu ila kwanini hiyo hardware yake wameweka ndogo 430 na wakati huo saizo ipo hadi 820
Processor mbov ram kubwa haitasaidia sana4GB RAM with 16mp, And. 7 what a smart phone. Cant wait to have it
FanboyOnce you go apple you never turn back!
na mi nimeangalia review nyingi ni best kwenye class yake, review gani imeonyesha ni crap?Hii simu imekuwa around watu tushaona review zake and most reviewers say its crap but thsts what you get for the pricr
chaja mkuu tafuta chaja yenye 5 volts na 2A itajaza vizuri tu.wakuu samahanini sana nina swali lakini liko nje ya mada so naomba kusaidiwa kama hamtajali
Nina galaxy s3 nikichomeka charge inaonyesha kialama cha kuingia charge lakini asilimia hazipandi badala yake zinashuka kama vile haijachomekwa charge na nikichomeka charge ikiwa nimeizima inatokea battery kama vile inataka kuonyesha inaingia halafu inazima mazima ..
Ufumbuzi wa hili tatizo unaweza kua ni nini???
N:B Tatizo hili halikuepo kabla na nimejaribu kubadilisha battery lakini hamna kilichobadilika