Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,254
- 44,363
- Thread starter
-
- #201
hapana mkuu, simu bado sana kwa computer,Hizo specs ,,zaidi ya computer
Shukrani mkuu Chief-Mkwawa hapo kwenye jibu la pili je kwa hii LG G3 LS990 inawezekana kubadili Bands?1. huwezi flash na kueka international rom ila kama unapenda kuchezea simu unaweza ukaflash custom rom kama cyanogenmod ikaifanya iwe fresh bila limitation.
2. band hizo hazikubali bongo, bongo ni 800, 1800 na 2300 ila kuna baadhi ya simu unaweza badili bands
3. kustuck inaweza kuwa software au hardware jaribu kubadili rom, au kuflash au kuhard reset tatizo likiendelea pengine ni emmc imekufa hapo ni kubadili motherboard
2. band hizo hazikubali bongo, bongo ni 800, 1800 na 2300 ila kuna baadhi ya simu unaweza badili bands
cheki hii threadShukrani mkuu Chief-Mkwawa hapo kwenye jibu la pili je kwa hii LG G3 LS990 inawezekana kubadili Bands?
subiria review kwanza mkuu, hakuna details za kutosha za bands, na kama zipo unlockedHii Nokia 6 nikiiagiza inaweza kufanya kazi nje ya china
Shukrani ngoja nipitie
Nokia wa leo hii mnamfahamu nyie wenye mahaba na kampuni husika, kwamba hachukui data zenu, yaani wazi wazi unamuamini mtu mweupe. tena ni bora ukabaki na imani yako kuliko kuwapa watu wanaokuamini kabisa mambo ya kitoto kama haya.kama huna Ushahidi wewe ndio unaetapatapa
Toa ushahidiNokia wa leo hii mnamfahamu nyie wenye mahaba na kampuni husika, kwamba hachukui data zenu, yaani wazi wazi unamuamini mtu mweupe. tena ni bora ukabaki na imani yako kuliko kuwapa watu wanaokuamini kabisa mambo ya kitoto kama haya.
Nope, ni laptop ya Xiaomi air 12.5" na inahitaji ssd ya PCIe 8cm tuni desktop?
Nimesema pale juu, huwezi jua anachokifanya chura akiwa chini ya maji, kama unajua kusoma unaweza kuona, japo usielewe.Toa ushahidi
ok tuambie sasa tumiliki simu zipi ambazo wewe umezikagua haziibi data.Nimesema pale juu, huwezi jua anachokifanya chura akiwa chini ya maji, kama unajua kusoma unaweza kuona, japo usielewe.
We nae kama unaamini nokia hachukui data zenu endelea kuamini, ila usiwaaminishe watanzania.
Mjanja ni yule anaechukua data zako bila wewe kujua, sasa mjinga ni yule anaemwamini mtu anaechukua data zake bila yeye kujua.
Usiponielewa soma tena, si mme mkalili facebook tu.
mtu mweupe hana utu.
Nope, ni laptop ya Xiaomi air 12.5" na inahitaji ssd ya PCIe 8cm tu
So kwako wewe unafikiri kutumia android ndiyo utundu sio??Android ndo mpango mzima kwa watundu ila kwa wazee watulivu bakini hukohuko ios na windows
Hakika mkuu mambo yangekuwa tofauti sana.Walibugi sana kuua Symbian na Maemo, hapa ndo Nokia alikuwa kitofauti, hizi OS zisingeuliwa tungekuwa tunazungumzia mambo mengine kabisa labda Android na iOS ndo wangekuwa wanafukuzia
Sio nafikiri ios kwangu siiwez kabisaa dakika kadhaa simu ishaniboa bora android mambo mengi najifanyia mwnywe sio had kungoja mmarekani alegezeSo kwako wewe unafikiri kutumia android ndiyo utundu sio??
Ni mambo gani hayo?Sio nafikiri ios kwangu siiwez kabisaa dakika kadhaa simu ishaniboa bora android mambo mengi najifanyia mwnywe sio had kungoja mmarekani alegeze