Nokia c3 msaada

Nokia c3 msaada

A-town

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
494
Reaction score
169
Wadau naomba msaada wa jinsi ya kuflash Nokia c3
 
kwanza unatakiwa kuwa na USB cable kisha Dowload software inayoitwa phoenix ambayo hutumika kuflash simu zote aina ya Nokia then download frimware ya simu yako au unaweza tumia software inaitwa NAVFRIM ilikupata frimware ya simu yako. Msaada zaidi tembelea Youtube ilikuona jinsi unavyoweza kutumia software hizi kuflash simu yako karibu.
Msaada zaidi wasiliana nami. ignacyona@hushmail.com
 
duu hayo maelezo lazima atume email ndio pona yake..
 
Back
Top Bottom