PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,105
- 29,909
tayari zimeanza kuuzwa wiki hii dunia nzima, kuna baadhi ya watu naona wanauza hapa bongo ila 850,000. subiria pengine wiki au wiki mbili zitajaa aggrey. sema nina wasi wasi sana na bei tutakazouziwa huku,
itakuja tumuda wotw huo?
nielekeze kesho nikazicheki pia nimeziona amazon zinauzwa dola 279,au ikishindikana nisubiri nokia 7 au 8tayari zimeanza kuuzwa wiki hii dunia nzima, kuna baadhi ya watu naona wanauza hapa bongo ila 850,000. subiria pengine wiki au wiki mbili zitajaa aggrey. sema nina wasi wasi sana na bei tutakazouziwa huku,
Haya bhanaitakuja tu
Labda ajaribu na onlineHaya bhana
kama unamatumizi mengi sd430 ni ndogo sana, subiria sd 660 ambayo ni mziki mnene kwa midrange na tofauti yake na flagship soc kama sd835 ni asilimia kama 15 tu hivi.nielekeze kesho nikazicheki pia nimeziona amazon zinauzwa dola 279,au ikishindikana nisubiri nokia 7 au 8
mkuu huwa kawaida mimi sishauri kabisa watu kununua simu za mediatek, hasa mediatek ambazo ni low end zenye nguvu ndogo.Vipi mkuu,samahani mkuu natoka nje ya mada.infinix Note 3 imekaaje mku nataka kuinunua naomba ushauri wako.
mkuu huwa kawaida mimi sishauri kabisa watu kununua simu za mediatek, hasa mediatek ambazo ni low end zenye nguvu ndogo.
hii simu processor yake ni quad core 1.3ghz na gpu ya mali T720 ambayo ni vidogo sana,
ukachia hayo ina display ya 1080p na battery ya 4500mah, pia band zake za 4G zinakubali mitandao ya Tanzania,
hivyo unless matumizi yako ni madogo sana ndio uinunue ila kama una matumizi ya kati au makubwa itakuwa slow na kukuzingua.
sidhani kama imeshatoka hii, umeiona wapi? au unamaanisha j7 prime ya kawaida?Shukrani mkuu,much appreciated .vipi kuhusu sumsung J7 prime (2017) hii imekaaje?
sidhani kama imeshatoka hii, umeiona wapi? au unamaanisha j7 prime ya kawaida?
ya kawaida ni nzuri kiasi sema weakness yake kioo sio amoled ni TFT, sijaiona live ila sidhani kama kitakuwa kizuri kama super amoled ya samsung nyengine.Yap mkuu
ya kawaida ni nzuri kiasi sema weakness yake kioo sio amoled ni TFT, sijaiona live ila sidhani kama kitakuwa kizuri kama super amoled ya samsung nyengine.
j7 2017 inatoka, kama unaweza subiria hio,
Chief, Nimeiyona galaxy J7 2017 MAX wametumia SOC za mediatek helio p20 ila RAM DDR4 na ROM 32Gb.. ila J7 pro ina balaa 64 gb but SOC ni exnyosya kawaida ni nzuri kiasi sema weakness yake kioo sio amoled ni TFT, sijaiona live ila sidhani kama kitakuwa kizuri kama super amoled ya samsung nyengine.
j7 2017 inatoka, kama unaweza subiria hio,
Mm nimetumia J7 prime kioo ndio TFT but kipo vizuri xna kimuonekana,kifupi simu ni nzuri xna.ya kawaida ni nzuri kiasi sema weakness yake kioo sio amoled ni TFT, sijaiona live ila sidhani kama kitakuwa kizuri kama super amoled ya samsung nyengine.
j7 2017 inatoka, kama unaweza subiria hio,