NOKIA amefeli sana kwa simu za Lumia WP

NOKIA amefeli sana kwa simu za Lumia WP

Jamani leo nilikuwa nafanya window shoping ya nokia Lumia. Bei niliyoiona nafuu kwa uwezo wangu ni Lumia 625 ni 500,000 pale posta kwa Hamidu Phones. Kama kuna mtu anajua kuliko na bei nafuu zaidi ya hiyo naomba aniambie niko serious nataka rudi kwa WP.
 
Jamani leo nilikuwa nafanya
window shoping ya nokia Lumia. Bei niliyoiona nafuu kwa uwezo wangu ni
Lumia 625 ni 500,000 pale posta kwa Hamidu Phones. Kama kuna mtu anajua
kuliko na bei nafuu zaidi ya hiyo naomba aniambie niko serious nataka
rudi kwa WP.

Ipo laki 4 na 60, nicheck 0764449722, unaipata dukani ndani ya box. Na warranty mwaka mmoja.
 
kwa sisi fans nokia kutotengeneza simu ni jambo gumu kulifurahia lakini since walipoachana na meego 2010 na ku adapat wp na kumueka elop kama ceo nokia walijiandaa kujiuza kwa ms.

nokia ilikua na part 4 tatu zinaingiza faida na moja inaingiza hasara hadi 1.7b usd. na tayari hio part (d&s) inayoingiza hasara ishauzwa microsoft.

hivyo nokia atengeneze simu yoyote hio ni juu ya microsoft na si nokia. na analyst anaesema ni too late huyo si analyst ni fanboy tu sababu si nokia ni microsoft anaekwepa aibu ya kutumia linux na kumtumia nokia kama proxy tu

Mkuu mpaka nokia inanunuliwa na microsoft ilikuwa tayari weak, nakumbuka early 2000 kuna mtaalamu aliwahi kusema kuwa kama mokia ingeendelea kuwa rigid , ingemgharimu, ndio kinachokotokea sasa.
 
kaka android za nokia unaweza ziita missing link.

wakati lumia 520 tanzania inauzwa 250,000 hadi 300,000 hii ndio simu ya bei rahisi zaidi kwenye smartphone za nokia. na kutokana na minimum specs za wp (krait 1ghz) ni ngumu kutengeneza bei ya chini zaidi ya hiyo.

hivyo hapa nokia wakaeka link baina ya wp na feature phone kuwa hii forked android. nokia xl ambayo ndio ya bei ghali kuliko zote haifiki 250,000 huwezi sema hapo nokia amehamia android. hivyo hizi zitanunuliwa na watu wanaotaka smartphone za 150,000 hadi 250,000.

halafu pia watu wananunua simu ya za nokia kwa ajili ya
1. apps za nokia ambazo ni unique huwez zipata kokote duniani.
2. camera za nokia (pureview)
3.wireless charging
4. build quality
5. screen yao (super sensitive)
na vitu vifananiavyo. hizi simu ni za bei rahisi lakini zinamiss vitu vingi vizuri vya nokia(kasoro build quality) hivyo sidhani kama nokia inahamia android bila kueka silaha zake kuu.

siku ukiona android ya nokia ina pureview basi jua nokia kahamia android

Mkuu bei kuwa ghali kwa nokia haimaanishi kuwa ndo imara, na ndio hapo andriod inapompita nokia window phones,
gharama za nokia zinatokana na ukweli kuwa wanaajiri watu kutengeneza apps n.k na hizo gharama lazima zirudi kwa consumers i.e mimi na wewe, sio kweli kama nokia ana apps unique pekee huo ni ushabiki tu .

yeah inamlazimu kuanza at the bottom of pyramid hii ni moja ya mbinu ya kuanza biashara ndo maana amekuja na simu za bei ndogo, sooner or later ataanza kushindana na heavy android players hapo ndo atalazimika kuwa reasonable na bei za product zake
 
Nina Nokia Lumia 820, mpya sealed kwenye box na waranty ya miak 2 from vodacom. Nilipewa kazini ila Nina latest version. Ni pm, bei laki 6 ila inapungua.

Nokia bomba Sana, sitembei na chaja tena. Nikiichaji usiku nazurura kutwa nzima hadi midnite bila kuchaji. Kumbuka emails zote nafanya huko, simu kila saa na bado jf, fb, whatsup na mengineyo. Nokia is the phone!
Jamani leo nilikuwa nafanya window shoping ya nokia Lumia. Bei niliyoiona nafuu kwa uwezo wangu ni Lumia 625 ni 500,000 pale posta kwa Hamidu Phones. Kama kuna mtu anajua kuliko na bei nafuu zaidi ya hiyo naomba aniambie niko serious nataka rudi kwa WP.
 
Mimi ninayo Nokia Lumia 1520 Baba. Hiyo itamfaa ilu. Hapo alisema bajeti yake laki 5, ngoja ajisikilizie kwanza. Ni ofa nzuri hiyo manake Mie simu mdogo sipendi.
ongezea laki na 90. Then nenda tigo shop kuna lumia 1320 kwa hiyo bei. Then unapewa na nokia asha 501 buuuuuureeee.... So ukiweza unauza iyo nokia asha..kitu kina kuwa 'winwin'
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mpaka nokia inanunuliwa na microsoft ilikuwa tayari weak, nakumbuka early 2000 kuna mtaalamu aliwahi kusema kuwa kama mokia ingeendelea kuwa rigid , ingemgharimu, ndio kinachokotokea sasa.

hio ilikua ni long term kaka elop katoka microsoft kaja nokia, nokia kafukuza wafanyakazi wa meltemi, kaachia wafanyakazi wa meego, kauza headquarter ya device akahamia headquarter ya espoo, kaanzisha nsn. yote haya nokia aliyaona zamani.

na pia nokia hakuwa weak bali part ya device ndio weak. kuna negotiation za kuinunua alcatel lucent zikikamilika nokia anakua top kwenye kusuply infrastructure za network.
 
Mkuu bei kuwa ghali kwa nokia haimaanishi kuwa ndo imara, na ndio hapo andriod inapompita nokia window phones,
gharama za nokia zinatokana na ukweli kuwa wanaajiri watu kutengeneza apps n.k na hizo gharama lazima zirudi kwa consumers i.e mimi na wewe, sio kweli kama nokia ana apps unique pekee huo ni ushabiki tu .

yeah inamlazimu kuanza at the bottom of pyramid hii ni moja ya mbinu ya kuanza biashara ndo maana amekuja na simu za bei ndogo, sooner or later ataanza kushindana na heavy android players hapo ndo atalazimika kuwa reasonable na bei za product zake
android hajampita wp kaka wp inakua kwa kasi kuliko soko la dunia nzima. kutoka unit 13m mpaka 30m ni zaidi ya asilimia 200.
kaka lumia 520 alone imeuza zaidi ya unit milion 15 na sababu hizi.
1. bei rahisi
2. app za nokia

kuna.mtu anakua na galaxy s4 lakini ananunua lumia 520 sababu ya app za nokia tu. kama matumizi yako ya simu ni kucheza game huwezi jua hili na always utapinga kuwa mtu hawezi nunua simu kwa ajili ya apps fulani hii ni mifano hai.

51URM2TRVRL._SX200_.jpg

kaka umekiona hiko kifaa? kinaitwa garmin ni portbale gps kinafanya kazi kama ramani yako bila internet just gps tu. bei yake ni dola 199.

nokia lumia 520 inafanya kazi zote kama garmin kupitia here maps ina gps na ramani zake zinafanya kazi offline. sasa nambie wewe utatoa dola 199 kununua garmin ambazo ni ramani tupu au utatoa dola 149 kununua lumia 520 ambayo unapata feature za garmin na simu? be honest.
Nokia_Drive+_Beta-575x326.jpg
 
Nokia for life, nilianza na symbian Nokia 6600,Nikasonga nayo mpaka sasa, nazikubali anaelalamika hajui kutumia simu maana binafsi hazijawahi kunizingua naona zinapiga mzigo fresh tu,sijawahi kununua simu tofauti na nokia,ila bland nyingine nimetumia maana mtu ananunua simu kisha ananipa nitumie, ila nilichojifunza ni kwamba android zipo slow kwenye internet
 
nilichojifunza ni kwamba android zipo slow kwenye internet

Hahaha... ndugu rekebisha sentensi yako. Nina Simu inayotumia android na nimeweka line ya Voda.Speed yake ni nzuri sana maana mara nyingine nafanya tethering kwenye PC nadownload movies na mengineyo. Labda hiyo Android phone uliyotumia ina edge.
 
Mkwawa,
Tatizo kubwa ninaloliona kwa NOKIA ni Speed. Mara nyingi parts zao za ndani zinakuwa zimepitwa na akina Samsung.

Ila nakubaliana na wewe kuwa ramani yao na GPS inafanya kazi hata bila kuunga na Internet.

Mie nimekwama kwenye NOKIA E-7 na sababu ni ile Keyboard yake. Sipendi sana kuandika kwenye SIKIRINI (Screen) ya simu kwani viherufi vidogo na vimebanana sana.

Wakitoa nyingine yenye ukubwa za around 5.5 inches na Keyboard basi ntaitupa E-7 na Symbian yake.
 
hakuna smartphone ya sasa ilio na speed ndogo ya internet nyingi zina 21mbps na ikishuka sana ni hio 7.2 mbps mtu anaesema simu flani ipo slow kwenye internet either ni uzembe wake au mtandao wake upo slow
 
Mkwawa,
Tatizo kubwa ninaloliona kwa NOKIA ni Speed. Mara nyingi parts zao za ndani zinakuwa zimepitwa na akina Samsung.

Ila nakubaliana na wewe kuwa ramani yao na GPS inafanya kazi hata bila kuunga na Internet.

Mie nimekwama kwenye NOKIA E-7 na sababu ni ile Keyboard yake. Sipendi sana kuandika kwenye SIKIRINI (Screen) ya simu kwani viherufi vidogo na vimebanana sana.

Wakitoa nyingine yenye ukubwa za around 5.5 inches na Keyboard basi ntaitupa E-7 na Symbian yake.

kama unataka speed mbona zipo nokia zenye speed mfano lumia 1520 pamoja na kutoka htc one m8, galaxy s5 na xperia z2 still hii simu ya mwaka jana inaongoza kwenye gaming benchmark.

e7 ni simu ya zamani ukicompare na za sasa lazima uone ipo slow. kipindi inatoka hata s2 haijatoka hivyo unaweza ukaona tofauti.

kuhusu kutype kwenye touch screen tafuta simu nzuri ambayo ni flagship ya zamani yenye kioo kikubwa haitakupa tabu kutype.
 
Tumieni iphone no stac no virus ipo speed net

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Mkuu, sijui kama ulinisoma vizuri na ukaelewa nimeandika nini. Si kuwa ni Mpinzani wa NOKIA. Kama ambavyo unaona sina mpango wa kuhama kutoka kwenye Nokia E-7. Niliombwa kuchagua simu kwa ajili ya Birthday zawadi yangu na nilikuwa nafikiri kununua Samsung Note 2 au 3. Note mbili ina speed ndogo kuzidi Note 3 na ukubwa wa screen pia ni ndogo kidogo ila inatunza vizuri charge yake. Note 3 ni kubwa na speed kubwa ila charge ni matatizo na hii shida ya umeme inakuwa kasheshe.

Ninachosema kwenye speed ni kuwa kwa pesa hiyohiyo, ninapata simu yenye CPU na RAM nyingi zaidi. Sasa kwa nini ninunue Lumia? Anyway, hilo siyo tatizo kwangu kwa sasa sababu sijaamua bado kubadili E-7.

Ohh, hapa ninapoandika, pembeni kuna Tablet ya inch.7 hivyo ninaposema sipendi kuandika kwenye screen, ninamaanisha kweli. Wengine sisi tumezoea Keyboard, hizi screen zenu vijana, hatuzipendi sana. Ila kichekesho ni kuwa, nimeanza kuiwinda Screen kubwa ambayo unaweza kuandika kwenye screen pia. Zinasaidia kama unataka kufanya kitu haraka haraka ila kwa kutumia muda wote kama kuandika maneno mengi, kwangu ni kasheshe tu.

Jana nimepata Email kutoka kwa NOKIA kunijulisha wananihamisha kwenda kwa Microsoft, ngoja tuwasubiri MS tuone watakuja na uchawi gani au wataishia kuiharibu kabisa NOKIA.

Kijana usitishike na hizo spec zinazowekwa kwenye devices, jua hardware inaweza kuwa poa ila software haijawa optimized kuitumia vizuri. Kwa mfano ukiangalia simu za Android huwa zinakuwa na best hardware ila kwenye benchmark zinapitwa na simu zinazorun ios na wp kwasababu hizo OS zimekuwa designed vizuri hasa kwenye memory optimization na processor utilization. Ndio maana ukichek iphone zina dual core processor clocked around 1.5ghz and only 1gb of RAM ila hutasikia consumers wanalalamila juu ya performance.
 
Mkuu, hilo nalifahamu sana na Mungu bariki, huwa ninaweza kwenda dukani mara moja moja na kulinganisha speed yake kwa kufungua mafaili kadhaa. Ninafahamu yote hayo na muda ukifika, nitachagua simu inayofaa kwa matumizi yangu. Ila nikiri kuwa simu ndogo kwangu ni tatizo kuzitumia. E-7 ninafaidi tu kitu kimoja kuwa ninapoandika, Screen inabaki screen na ninaanza kutumia Keyboard peke yake. Hata hivyo natumia zaidi Laptop kuliko Simu hivyo hilo kwangu siyo tatizo kwa sasa.

Samsung kwa sasa ndiyo wananichengua. Ila ngoja kwanza nitumie hii Keyboard ya Nokia. HTC pia huwa nawawaza sana. Lumia pia wananichengua ila mhhhh..... Iphone kiscreen kidogo sana - AIBU. Chini ya Inch 5, hapana.

nikikwambia kutype kwenye iphone ni rahisi kuliko simu nyingi huwezi kuamini jaribu siku moja. moja kati ya vitu ninavyopenda kwenye iphone ni ile responsive ya keyboard yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom