snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,162
hapo hamna ushindani android hamuwezi windows android ashindane na huyu huyu windows phone
.
najua hata hii tu ungebisha
.
.
ngoja niweke hii
.
.
.
.
hapo hamna ushindani android hamuwezi windows android ashindane na huyu huyu windows phone
wele pro Android hawataki kubadirika, maisha mazuri sasa ni Windows Phone. Hii ni kwa wajanja tu..
najua hata hii tu ungebisha
.
![]()
.
ngoja niweke hii
.
![]()
.
.
.
Hizi simu bana majanga kweli
1. Hazina option na 3g only zina highest connection ambayo unachagua 3g lkn hata km uko katikati ya jiji inakuletea 2g tu
2. Network (internet) sharing haikubali kila cku unaambiwa current unavailable hata ikikubali ni dakika tano inakata.
3. Internet yake haipo stable hata kama kuna 3g connection hutaweza kufungua hata Google hadi uzime uwashe au usubiri sana.
4. Huwezi ukadownload file au program afu uje uihamishie kwenye computer. Inakubali kudownload nyimbo, pdf au office files.
5. Ila chaji inakaa sana lkn syo nzur kwa mtu mpenda net.
umeipataje jf kwenye tapatalk mkuu..Mimi nafurahia sana Lumia yangu na kamwe sitarudi kutumia simu ya android. Simu yangu ya mwisho ya android ilikuwa Samsung galaxy s2.
Sent from my Lumia phone using Tapatalk
umeipataje jf kwenye tapatalk mkuu..
wele pro Android hawataki kubadirika, maisha mazuri sasa ni Windows Phone. Hii ni kwa wajanja tu.
.
Kwa matumizi yako ww ni sahihi....
.
Ila we jiulize kwann Nokia wanaamia android?
.
Kweli mkuu nokia anakuja android ! I wish chief mkwawa, angekuja hapa!!
.
Kwa matumizi yako ww ni sahihi....
.
Ila we jiulize kwann Nokia wanaamia android?
.
Kweli mkuu nokia anakuja android ! I wish chief mkwawa, angekuja hapa!!
mbona kawaida tu. samsung ana simu za windows mobile, htc pia wanazo..
Mkuu nokia ali underestimate wapinzani wake akidhani kuwa hana cha kijufunza kutoka kwao, mind you nokia ni kampuni kubwa ya simu.
Move ya kuja android inatafsiriwa na wataalamu kama maamuzi magumu kwa nokia na imechelewa sana.
nokia kama ccm hawana jipya