NOKIA amefeli sana kwa simu za Lumia WP

NOKIA amefeli sana kwa simu za Lumia WP

Tumieni iphone no stac no virus ipo speed net

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums

Mwenzenu Uzee unaingia, hadi nivae miwani ati, hahahaaaaa..... Asante kwa kunishauri ila Screen ndogo - BIG NO.

Nikiamua basi sanasana ntachukua walau inch. 5.5 minimum. Iphone ntasubiri sana maana nikichungulia GSMARENA, sioni kiti kipya chochote kutoka kwao. Pia kwa sababu siishi USA, Iphone haina faida sana kwangu huku Sikonge.
nikikwambia kutype kwenye iphone ni rahisi kuliko simu nyingi huwezi kuamini jaribu siku moja. moja kati ya vitu ninavyopenda kwenye iphone ni ile responsive ya keyboard yake.
 
Kama zipi?

patent nyingi wanaeka siri huwa haziwi hadharani ila vitu hivi for sure patent nyingi ni za nokia.
1. nfc- imetengenezwa na nokia na philips kwa pamoja
2. bluetooth- ugunduz mwingi ameufanya nokia
3. radio za simu vitu kama 3g 4g na 2g
4. microphone
5. patents za camera na vitu kama pureview
6. njia za kusave battery (optimazion ya nokia ni out of this world) angalia lumia 1520
7. wifi

kuna vitu vingi kaka. siwezi kukwambia exact ni patents gani wanalicence ila nitakupa tu link uone wanavyolicence sababu ni siri hizi deal hasa kwa samsung na apple.

1. samsung.
samsung long time analicence tech za nokia na deal mpya ya mwaka huu inaaaminika atamlipa nokia mara 36 zaidi sababu nokia hatengenezi tena simu. source kuwa samsung anatumia tech ya nokia.
Nokia, Samsung agree to extend patent licensing deal - CNET

2. apple
apple alishindwa na nokia mahakamani na akaomba suluhu nje akamlipa nokia dola milion 600 na pia kila iphone, ipad na ipod inayouzwa nokia anapata kama dola 6 hadi 9 hv. juzi samsung wametoa siri kuwa deal ipo hai hadi 2016. hichi kitu kinawauma sana wamarekani hadi leo
Apple Will Pay Nokia Billions In iPhone Patent Licensing | Cult of Mac

3 . blackberry
huyu ndio juz juz alianza kumlipa nokia alipoanza kutumia os 10. sio kias kikubwa sana analipa.
RIM loses patent dispute with Nokia, may have to pay royalties on Wi-Fi handsets | TechRadar

hapo nimekutajia giant watatu wote wana licence kwa nokia, bado kuna kina qualcom, htc, motorola, viewsonic na wengine.

inshort huwez tengeneza kifaa cha wifi, 3g, bluetooth na nfc kinachopokea na kutuma bila kulicence kwa nokia.

na ukitaka kujua power ya nokia angalia taiwan, china na korea wote walikataa kukubali nokia kuuza part ya simu hadi wahakikishiwe hataongeza bei ya patents sababu angeyadhuru makampun yao kama huawei, lenovo, zte na xiaomi
 
Mwenzenu Uzee unaingia, hadi nivae miwani ati, hahahaaaaa..... Asante kwa kunishauri ila Screen ndogo - BIG NO.

Nikiamua basi sanasana ntachukua walau inch. 5.5 minimum. Iphone ntasubiri sana maana nikichungulia GSMARENA, sioni kiti kipya chochote kutoka kwao. Pia kwa sababu siishi USA, Iphone haina faida sana kwangu huku Sikonge.

kaka mimi nina experience na hivi vitu kioo kikubwa sio urahisi wa kuandika tu bali ile responsive pia inachangia. ndio maana nakwambia bora utafute flagship za zamani kama hutak kutumia hela nyingi. kuna simu zina vioo vikubwa ila sometime unagusa lakin hata kioo hakirespond inakuwa tabu.
 
Nafikiri ntanunua Tablet kwanza, nimeamua ya Inch 7 au 8. Tatizo ni kuwa, laptop inasumbua safarini kwani ni inch.17.3 ambalo kwa mfano ukikaa kwenye Seat za Bus au ndege kule Third Class ya ndege, PC inawagusa hadi jirani zako.

Simu ntanunua ila probably itakuwa min. inch5.5 na kwenda mbele ila iwe Dual Sim kama Note 3 ya Samsung. Haya makampuni ya hivyo yapo mengi kama ulivyosema ila tatizo siyo Screen na respond kwani nitanunua mkoba wake pia wenye ku-dock Keyboard kabisa. Shida kubwa kwangu ni Battery. Hizi za onvyo, zinadumu muda mfupi sana na mie ningelipenda walau 8 hrs kama nimezima Internet.

usb-keyboard-case-cover-for-9-inch-tablet-pc.jpg

hizo keyboard za simu na tablet za android nilizoziona bongo ni majanga zina waya mwembamba kama earphone. kwa tablet sasa hv hutapata nzuri kama dell venue 8 pro inakubali kila kitu cha pc kuanzia software hadi hardware. pia chaji ni masaa 10.

dell-venue-8-pro.jpg
 
Kama unataka smartphone inayokaa na chaji jaribu lenovo p780, double line 4000amh battery, hutojuta.. ..mimi ni mtumiaji wa kawaida with 3g data always on ,email ,sycs inakaa masaa 48-55, kama ukiwa unatumia data kwa kuvizia, inakaa mpaka siku tatu. Itaulazimu uiagize online, ilinigharimu $300 mpaka dar.
 
Mkuu t blj,
Asante sana kwa nondo. Ni kweli kabisa kuwa hii simu ina battery nzuri sana kama ulivyosema. Anyway, kuagiza kwangu siyo shida kwani mara moja moja huwa naenda kabisa madukani kununua mwenyewe. Kuna nchi ntatembelea siku za karibuni na ntanunua dukani moja kwa moja.
Ila hii yako moja kwa moja naipa NO maana ni Screen yake ni Inch.5 na mie nataka min. inch 5.5 hadi inch 6 na pia ni vema ikiwa na dual SIM.

Sasa hivi ninapanga kununua Windows Tablet ila nashindwa kuchangua kati ya Dell 8inch. au Toshiba 8inch. Kila moja ina faida na hasara yake. Nikifika dukani ntazitest zote na kuamua ipi nichukue. Ila na zenyewe bei yake inaanzia hiyohiyo dola $300 kwenda juu kulingana na ukubwa na HDD yake iliyopo ndani.

Nimalize kwa kukubaliana na wewe, hii LENOVO ni nzuri sana na hasa kama unaishi sehemu Umeme ni wa shida au unasafiri sana. Nategemea kuna wengine watasoma pia na kuikimbilia maana ni kimashine kizuri hata ku-game.
Kama unataka smartphone inayokaa na chaji jaribu lenovo p780, double line 4000amh battery, hutojuta.. ..mimi ni mtumiaji wa kawaida with 3g data always on ,email ,sycs inakaa masaa 48-55, kama ukiwa unatumia data kwa kuvizia, inakaa mpaka siku tatu. Itaulazimu uiagize online, ilinigharimu $300 mpaka dar.
 
Eee waahhh, jana nimeziona Online hizi Windows Tablet mbili yaani ya Toshiba na Dell, zote ni 8inch.

Wengine wanaisagia Dell kwa sababu haina sehemu ya kuunga HD. Na Materials yake ya body si nzuri sana.

Ila nafahamu mara nyingine unakuta aliyeandika ni mtu wa Toshiba. Hebu niambie, nichague ipi?

Windows 8 tablet showdown: Acer vs Dell vs Toshiba - Good Gear Guide by PC World Australia

Ohh, kuhusu hizo Keyboard usiwe na wasiwasi, jamaa ataninunulia kwenye duka la Saturn German kwani zipo nyingi za kuchagua mwenyewe yenye uimara wa kutosha.
hizo keyboard za simu na tablet za android nilizoziona bongo ni majanga zina waya mwembamba kama earphone. kwa tablet sasa hv hutapata nzuri kama dell venue 8 pro inakubali kila kitu cha pc kuanzia software hadi hardware. pia chaji ni masaa 10.
 
Ndo ukweli

Sent from my iPhone 5 using JamiiForums

Hamna cha ukweli wala nini hiyo uliyoweka ni ya ku-edit toka kwenye Tapatalk kama sijakosea maana iphones au ipad hua zinaandika Via Ios haiandikagi devices yenyewe inaitwaje..Over...!!
 
hakuna smartphone ya sasa ilio na speed ndogo ya internet nyingi zina 21mbps na ikishuka sana ni hio 7.2 mbps mtu anaesema simu flani ipo slow kwenye internet either ni uzembe wake au mtandao wake upo slow

Kwa Dar duka la Lumia liko maeneo gani? Maana nimeshawishika na Lumia 520, hila bado naipambanisha na Y300.
 
kaka why mnanunua windows phone halafu mnatafuta support kwenye website zenye watu wanaotumia android? lazima utaichoka sababu imetengenezwa kufanya vitu ambavyo android haiwezi kufanya sasa wewe kama unataka windows phone iwe android utakesha. sababu before kuomba msaada tayari ushaconclude hivyo ulivyovitaja havipo.

1. kueka 3g only.
android yenyewe imepata juzi tu hii option android zote za nyuma zilikua hamna sishangai os mpya ikawa haina. lakini kuonyesha kwamba hujatafuta solution kwenye site za windows phone ni kwamba hichi kitu ni common na kina solution kueka 3g only

nakushauri nenda wpcentral utapata solution ya kila namna. na solution yako ya kueka 3g only hii hapa.
Lumia 1020 ##3282 field test menu - Windows Phone Central Forums

2. swali la internet sharing kukataa solution yake ni hao hapo juu yaani field test kama umefanikiwa kueka 3g only ujue pia hapa itakubali. na pia kuna case watu wananunua simu za atnt au verizon au vodaphone mitandao ya majuu wanalock tethering ikija huku inakataa hadi uifanyie tweak.

3.kaka ukisema internet haipo stable ujue simu yako ndo ina matatizo sababu ni hii. lumia 1020 inatumia snapdragon s4 chip hii chip inatumika kote kote kwenye android na wp. adapter ya network ya lumia 1020 ni sawa na ya moto x, sawa na ya hizi xperia zote sawa na za samsung na wengine. huenda eneo lako huna network fanya research moja change line tigo, voda na airtel ujue tatizo ni simu au mtandao.

4. kaka ukidownload file ambalo halitambuliki kwenye windows phone linapotea ila bado lipo kwenye simu, unapoconect kwenye computer simu yako inakuwa mass storage utaona mafile yote. ukitaka kudownload mafile yaresume na mafile makubwa tumia uc browser halafu ukiconect simu na pc utaona mafolder yanatokea

nenda hapa kuona mass storage
WP8 Drag & Drop File Storage Detailed : My Nokia Blog
Nimekukubali kaka ,wanasema unaitetea nokia••• Yea sure unaitetea but with a lots of facts , evidence n solutions••• Keep it up mr nokia•

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom