Nokia 808 pureview | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nokia 808 pureview

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by donlucchese, Feb 28, 2012.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,415
  Likes Received: 3,539
  Trophy Points: 280
  wakuu there is no doubt when it comes to mobile phones Nokia runs the market. sasa recently they have released this phone nd guess what? it has 41 megapixels. this is huuuuge,cant wait to see it in TZ
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,812
  Likes Received: 7,149
  Trophy Points: 280
  Japo umerudia post ila schoki kuisoma i real like hii simu

  Iphone walitoa video za simu zao na idea hii lakini nokia kafanya kweli ni funiko
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nokia wametangaza simu inayoweza kuwapa identity na kutawala soko. Ifahamie hivi sasa
  kila kitu ni mobile. Mfano Kama una tovuti haiwezi kusomeka kwenye vifaa vya mbile ujue tovuti yako haiendi na wakati. Kwa wapenzi wa mobile photogprahy. yaani wale wanapenda kupigapp iga picha wakiwa kwenye matambezi bilakuwa na usumbufu wa ubeba digtal camera basi hii simu itakuwa chaguo lao .

  41 Megapixel????

  Hapa Nokia wanaweza kuwa wanatumia ujanja wa marketing. Kiuhalisa si kweli kuwa simu hii ina 41 MP ila kwa mujibu wa uchambuzi wa kitalam wa techncrunh hata ukipiga picha katika High resolution itaoa picha isiyozidi 38 MP. Lens ya simu hii inachukua 41 Magapixel ya data na inazitumia kutengeneza picha ya kiwango chajuu lakini katika size ndogo(size ya picha za simu). Yaani kifupi camera ya simuuhii hii inaeza kutumia 41MP ya "Raw" data kutoa picha ya kiwango cha juu kabisa ya 8 MP. Na picha ya 8MP kwenye kamera hii itakuwa bora zaidi ya Picha kamera ya kawiada ya 8 MP

  Kwa nini wanakuja camera ya 41 MP
  Wengine ne wanaweza kuhisi sasa Nokia wanatakiwa wanzishe ktengo cha Kamera. .. Kamera hii kwenye simu ni matokeo ya research and development (R&D) ambayo Nokia wamekuwa wakifanyia kazi kwa miaka mitano. kwani quality ya picha za mkononi mara zote imekuwa kuwa si nzuri . Sensor ndogo na lenz inamanisha technology inayotumika wenye kamera za simu inasababisha picha zinazotolewa katika size fulani kutokuwa bora na za kiwango. Je ni kwa nini ?
  k
  wa mujibu wa ufafanuzi wa kitaalamu tatizo na sababu ya kiwango duni cha Kamera hizi ni lenz zake zinataka kuchuua kila detail ya pixel ya kitu kinachopigwa wakati sensor ni ndogo sana. Sasa hii Nokia pure view inajaribu kuondoa tatizo hilo…


  Sensor ya 808 Pureview ikoje?
  Sensor imetengenezwa na Toshiba na kwa kiwango cha mobile sio ndogo . saizi yke ni 1/1.2″ (inch). Ukadiriaji unasema sensor hii ni mara tano kubwa zaidi ya sensor kwenye simu za kamera nyingine nyingi tulizonazo. Inazidi hata sensor ya kwenye iphone 4s. Na kwa design hii shape au na hata size ya hii simu ni kubwa kidogo.

  Tutazame kidogo simu yenyewe Ikoje?
  kwa wale ambao kwao wembamba wa simu ni muhimu kuliko facility basi hii sio chaguo lao. Vile vile simu hii kwa sasa inatumia OS ya symbian na sio WP7 (Windows Phone 7 ) . Kama nilivyofafanua mwanzo Nokia wamekuwa kwenye R&D hii kwa miaa mitano kabla hata ya ushirikiano na Microsoft. Kwa hiyo majaribio na ucngunguzi wote ulifanyika kwa OS ya symbian. Lakini ni wazi "feature" hii ya camera ya 41 MP siku za mbeleni itapatikana kwenye Nokia znazotumia WP7.

  Kwa wapenzi wa Nokia ushauri wangu kama wameipenda hii smu wasubiri model ya Nia itayokuwa ina WP7. But who am I??? lol Uamuzi ni wako

  Na mchambuzi wa simu Devin Coldewey anabashiri WP7 na Nokia wakicheza karaza zao vizuri kuhusu hii kamera Nokia na Microsoft watakuwa defacto standard katika Mobile photograppy. Lakini anasisistiza (big if )

  Angalizo
  Nimeona detail za hii kitu jana nikafuatalia mtandaoni kusoma wachambuzi wanasemaje. Uchambuzi niliopenda nikautumia kuandika makala hii baada ya kuuchakua kwenye gym yangu ni wa Techncrunch.
   
Loading...