Nokia 2700 classic

Nokia 2700 classic

elimuplatform

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,054
Reaction score
462
Naomba wataalamu mnisaidie,nina simu yangu nokia 2700 classic kila napotaka kudownload mafile ya pdf,inaniambia link not available.je ninatakiwa nifanye nini kwenye setting?nawasilisha
 
Kuna mambo mawili kuweza kudownload na kuweza kufungua file lenyewe, mimi nitazungumzia uwezo wa simu yako soma file la pdf
Mkuu hiyo simu yako uwezo wake ni mdogo sana haina built in application yakuweza kuread pdf file
Unaweza kujaribu kugoogle kama unaweza kubahatisha java application za kusoma pdf kwa simu yako
Kitambo hicho nili wahi kuwa na Nokia 2600 classic ambayo haitofautiana sana na hii kwakeli ni majanga hakuna application ya maana unaweza pata maana simu yenyewe mkuu imekuwa ya kitambo na uwezo mdogo
 
Aksante mkuu maana ningeweza kukesha kwa kuhangaika

fanya hivi,download ucbrowser latest version,hiyo inauwezo wa kuview mafile ya pdf bla kuyadownload japo file zenyew zciwe kubwa xana lakini tatizo kubwa ni kwamba kama pdf file lenyewe lipo katika mfumo wa table then yenyewe inaonesha kwa mtindo wa colum
 
Back
Top Bottom