Noandoka Tanzania

Nenda na usirudi tena maana hatuhitaji watu wa caliber yako ambao wanauliza nchi imewafanyia nini badala ya wao kujiuliza wameifanyia nini Nchi....pls don’t consider to come back
 
Yess!
BORA YA WASHAMBA KULIKO WEZI , WABINAFSI WANAO JALI MASLAHI YAO BINAFSI !!!
Kama wale waliouza nyumba za serikali, walionunua meli chakavu kwa bil 7, waliokamata meli ya samaki ya wachina na kusababisha hasara ya mabilioni ya shilingi, waliosababisha bombadia kushikiliwa Canada.
 
Hiyo ndio ndoto ninayoiwazia oneday niwe na uwezo wa kuondoka hii jehanamu.
 
Nlikuwa nawaza kitu kama hiki dakika 30 zilizopita.
Nikajikuta naangalia bei za nyumba hispania.
Huu mwaka ukiisha sijaondoka Tanzania basi siondoki tena.

Naichukia hii nchi kuliko maelezo.
 
Nlikuwa nawaza kitu kama hiki dakika 30 zilizopita.
Nikajikuta naangalia bei za nyumba hispania.
Huu mwaka ukiisha sijaondoka Tanzania basi siondoki tena.

Naichukia hii nchi kuliko maelezo.
Hahaa kaza moyo konde mzee..

BTW kuna sehemu nimekutag mkuu jaribu kucheki nitashukuru!
 
Mkuu ubongokid rudi tuje kuvaa sandarusi pamoja huku, sasa unatuachaje kwa mfano!!
 
Hasira zako zihifadhi ndani ya moyo wako.Kama unaondoka ondoka kwa amani (usinyee kambi).Yakikushinda utarudi kwa amani tutakupokea.

Mkataa kwao....?
 
Kwanini usinywe sumu kabisa sababu mitandao ipo bado Tanzania itakua kiganjani kwako mahali popote

Nakushauri ni bora ujiondoshe kabisa sababu hauna impact Tanzania, Tanzania itaendelea kuwepo uwepo au usiwepo
 
Jamaa Atakua kwenye ndege ndio Maana. Hajibu ila natumaini ataleta mrejesho....

Pengine hajapata free wifi.... Atatuambia
 
Hata zile nchi ambazo kila siku raia wake wanakamatwa kama wahamiaji haramu wamejazwa kwenye malori kuelekea afrika kusini mambo yalianza hivi hivi. Ni muhimu taifa kuweka mazingira rafiki kwa wananchi wake kwa kuzingatia utawala bora.
 
Mkuu nenda tuachie nchi yetu soon itakuwa nchi ya asali ya maziwa, under comrade JPM tunasonga mbele.. Ni vizuri ukachukua na uraia huko huko maana hatuhitaji watu useless.

Taifa linahitaji wanaume wapambanaji watakaoacha alama kwa wajukuu na sio watu dhaifu kama wewe unayekimbia taifa lako na kwenda kuenjoy jasho la mababu wa wenzio...
 
ubongokid Inaonesha jinsi gani ulivyo na uwezo mdogo wa kutatua matatizo. Dawa ya matatizo ni kuyakabili na si kukimbia. Sasa nako huko ukipata changamoto unakimbia, kwingine hivyo hivyo. Pole yao unaowaongoza au wanafamilia.
Sio kila tatizo unaweza kulitatua. Hata km unaweza basi upo wakati wake. Mm nimemuelewa jamaa. Kwa mazingira aliyonayo inawezekana akashindwa kuishi. Imagine km yaliyomkuta bwana Nondo, huenda jamaa ange react violently sasa anaona ili kuepusha shali basi ni bora akabebe zake maboksi maisha yaendelee
 
Hayatuhusu, wewe hangaika na hali yako,uchukie au ufurahi hakutuongezei wala kutupunguzia ugali mezani.Nenda kwa hao unaojivunia kwenda kwako sisi daima tunajivunia Utanzania na tunatembea kifua mbele,nenda kavipige deki vibabu na vibibi huko uendako
 
Nikiendelea kuka hapa nitakuja kuwa mtu mbaya sana zaidi ya gaidi
hahahahaaa kweli hii nchi laiti kungekuwa na uraisi wa kumiliki siraha bs sa hv tungekua tumepigana sana bastola aidee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…