Noah inaizwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Noah inaizwa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by wmakishe, Jan 30, 2012.

 1. wmakishe

  wmakishe Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  Naiuza NOAH kwa bei ya Tzs 9.5 million tu. iko ktk hali nzuri sana. Ni mali yangu na ninaitumia mimi mwenyewe kwa kuenda ofisini na kurudi home hapa Dar. haifanyi (haijawahi kufanya) biashara ya kubeba abiria. Namba zake BHT (bahati hiyo), ni nyeupe, imetengenezwa Japan (sio China) mwaka 1999, function zote ziko OK! Iwahi mapema kama unaitaka. Mimi sio Dalali , gari ni langu. Ni PM kama unataka NOAH !
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Noah ni aina ya gari au, tujuze
   
 3. Jephta2003

  Jephta2003 JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2008
  Messages: 3,584
  Likes Received: 1,885
  Trophy Points: 280
  ungeweka picha iongekuwa bomba zaidi!
   
 4. Lamchina

  Lamchina JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante kwa biashara ya Noah,japokuwa sijaona picha yake ila mi nakupa 8.5M
  Hapo vipi, tufanye biashara bwashe!
   
 5. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Weka contacts. iko wapi tukaione?
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,263
  Trophy Points: 280
  Ningependa kutumia ukurasa huu kuwapa ushauri wadau wa magari, siku nyingine unapoagiza gari kumbuka date of manufacture iwe kuanzia mwaka 2000 kuja 2011.
  Ni ushauri tu.
   
 7. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  hee kumbe gari mi nilidhali yule mdudu wetu
   
Loading...