No single Woman TRA Management!

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
4,531
1,378
Nimeenda kule TRA nikashtuka yaani top management (13) yote ni wanaume tu! Hivi Hakuna wanawake wenye sifa TRA hata mmoja kuingia ktk management? Au wapo hawapewi nafasi? Nimeenda Kenya (KRA) top executive profile out of 4 members yuko mama mmoja angalau. Je wandugu mnasemaje? Akina mama mpo? Is this fair? Na hili mnakubali?

Angalia majina http://www.tra.go.tz/
1. Mr. H. M. Kitillya
Commissioner General

2. Mr. P. J. Luoga
Deputy Commissioner General

3. Mr. L. B.S. Kandege
Secretary to the Board and Chief Counsel

4. Mr. J. A. Mally
Commissioner for Domestic Revenue

5. Mr. G. P .E. Lauwo
Commissioner for Customs and Excise

6. Mr. L. B. Mwaseba
Commissioner for Tax Investigation

7. Mr. P. N. Kassera
Commissioner for Large Taxpayers

8. Mr. N. N. Msoffe
Director for Human Resources and Administration

9. Mr. P. J. Mwangunga
Director for Finance

10. Mr. K. Wakati
Director for Information Systems

11. Mr. S. B. Mshoro
Director for Internal Audit

12. Mr. T. K. Muganyizi
Director for Research Policy and Planning

13. Mr. P. H. Mmanda
Director for Taxpayer Services and Education
 
Hata mimi sikubaliani na mambo haya hasa ukianagalia kuwa kuwa:

Rais Jakaya Kikwete
Makamu Mohammed Shein
Waziri Mkuu Edward Lowassa
Jaji Mkuu Augustino Ramadhani
Spika wa Muungano Samuel Sitta
Spika wa BMZ Pindu Kifichu
Mkuu wa JWTZ Mwamunyange
Mkuu wa Polisi Said Mwema
Mkuu wa Magereza ..
Kwenye Uongozi wa CCM
Mwenyekiti
Makamu wawili
Katibu
Manaibu Katibu
Mweka Hazina
..
Yaani hakuna nafasi hata moja ya hizo ambazo mama/dada zetu wanaweza kuzifanya?
 
MKJJ,
Hii kali! Hizi nafasi za kisiasa- za CCM. Hata upinzani pia siwaoni. Ila ktk top management ya taasisi kubwa kama TRA, BoT n.k in 2007 ni vigumu kuamini kama hakuna mwanamke Tanzania mwenye uwezo to contribute in top management decisions!
 
JF kwenyewe kuna problem ya gender representation, but I also guess sensitivity. Wanawake hapa hawafiki 10, but who is to blame?

PS: Nchi za ulaya sasa hivi wanatunga sera za kuwa-empower wanaume maana karibu kila sector wanaume wapo underrepresented. So, it is a matter of time, maybe!
 
What with this mentality .....msichana aliyevunja ungo na anaweza kutunga mimba, (12 to 14 years?) anaweza kuozwa?; and this is 2007!

Kitila: You are damn right, the above mentality notwistanding; women will no doubt take over. It is just a matter of time.
 
I personally don't see an issue kutokuwepo wanawake TRA, especially kwenye nafasi 12 tu or so zilizowekwa hapo juu. I also don't think it's the question of "kutokuwepo na mwanamke wenye uwezo" perse wa hizo nafasi, nadhani ni zaidi kutokuwepo kina mama kwenye nafasi ambazo zingeweza kuwafanya kuteuliwa/kuchaguliwa kwenye hizo nafasi. Labda kwa kuwa hawapo wengi kwenye hizo field, labda kuto-apply kwa hizo nafasi, na ukweli usiopingika kuwa wenye kuwa na hizo qualifications nchini Tanzania, pia si wengi sana.

Nakubaliana na mjumbe hapo juu, it's the matter of time.
 
JF kwenyewe kuna problem ya gender representation, but I also guess sensitivity. Wanawake hapa hawafiki 10, but who is to blame?

PS: Nchi za ulaya sasa hivi wanatunga sera za kuwa-empower wanaume maana karibu kila sector wanaume wapo underrepresented. So, it is a matter of time, maybe!

Pia hapa UK mashuleni wanawake wanapasua ile mbaya, wanaume wanahitaji msaada zaidi maana wanasua sua.

Hata TZ tukiwapa nafasi watafanya vizuri sana ila tuache kuwaambia wamefaulu au kupanda vyeo kwa marks za cxxxx.

Hata kwenye utendaji, wanawake sio mafisadi kama sisi wanaume.
Hawahitaji kutunza nyumba ya pili.

Ndio maana mimi mwaka 2015 nitamuunga mkono mwanamke, I hope kutakuwa na mgombea mwanamke.
 
Mwenyekiti wa Bodi sio mwanamke kweli? 2015 Rais ni Asha Rose Migiro Hellen Bisimba au Anna Tibaijuka kupitia CHADEMA. Maana 2010 ni Freeman Mbowe.

Wanawake tunaanza sasa kuchukua nafasi, si umeona Liberia, Argentina- historia ya "evita" inajirudia.

Asha
 
MKJJ,
Hii kali! Hizi nafasi za kisiasa- za CCM. Hata upinzani pia siwaoni. Ila ktk top management ya taasisi kubwa kama TRA, BoT n.k in 2007 ni vigumu kuamini kama hakuna mwanamke Tanzania mwenye uwezo to contribute in top management decisions!

Fumbua macho. Makamu mwenyekiti wa NCCR sio mwanamke jamani? Wagombea wenza wa CHADEMA na TLP walikuwa wanawake hivyo wangeshinda leo tungekuwa na makamu wa Rais mwanamke. CCM je? Chama Cha Madume, husikiagi wanajiita chama dume?

1. Hope that you are not defending women gross under represenation at TRA. It is true though Chair of Board is a lady from FACM -UD. Mimi naongelea day to day management team of TRA- 13 directors- no one is a woman. Angalia tena hayo majina hapo juu- kama huamini.

2. Sasa kama Chair wa Body ni mwanamke- wa UD, ameshindwa hata kushawishi angependa kuona hata 1 or 2 ladies in the team? Mimi nadhani wako wanawake competent TRA sema serikali ya JK haijaamua kuwapa nafasi.

Mimi siongelei Board Members TRA naongelea Management Team ya ndani ya TRA
 
Jamani weeee, mbona mi nakuunga mkono. Mi nataka hata Kikwete atupishe. Tunaweza. Yeye anacheka cheka tu pale. Na huyo mama kama anashindwa kutuwakilisha vizuri kama mwenyekiti naye apishe. Hao TRA hawajifunzi tu?

Asha
 
Naona wamekumbukwa safari hii ni huko maliasili na utalii.Kuna dada zetu kibao wamekwaa top posts.
 
Jamani weeee, mbona mi nakuunga mkono. Mi nataka hata Kikwete atupishe. Tunaweza. Yeye anacheka cheka tu pale. Na huyo mama kama anashindwa kutuwakilisha vizuri kama mwenyekiti naye apishe. Hao TRA hawajifunzi tu?

Asha

Mambo mengine yako wazi tu, sasa kama akina mama watakuwa hawachambui mambo bali wanakuwa washabiki kama dada yangu hapo juu,,, hii vita ya kuupinga mfumo dume utaendelea daima...

Kwenye nafasi za Kuchaguliwa hatuna haja ya kusema lolote, wanawake wenyewe waamke, kwenye nafasi za uteuzi ndio twaweza sema kitu... hivyo naungana kwamba pale TRA, na kwenye vyombo vingine tunawahitaji hao wananawake...
 
Tupo...shida yetu wengi tumelalia CV kwa hiyo hatuonekani. Na akijitokeza mmoja wetu akapata cheo ndio wa kwanza kusema "kabebwa". Unajua not many women have that attitude ya "u gogetter" . We are just hiding behind ourselves!
 
1. Hope that you are not defending women gross under represenation at TRA. It is true though Chair of Board is a lady from FACM -UD. Mimi naongelea day to day management team of TRA- 13 directors- no one is a woman. Angalia tena hayo majina hapo juu- kama huamini.

2. Sasa kama Chair wa Body ni mwanamke- wa UD, ameshindwa hata kushawishi angependa kuona hata 1 or 2 ladies in the team? Mimi nadhani wako wanawake competent TRA sema serikali ya JK haijaamua kuwapa nafasi.

Mimi siongelei Board Members TRA naongelea Management Team ya ndani ya TRA

Nakubaliana na wewe, huyo Dk Chijoriga alitakiwa alijue hilo na iwe one of her agendas...kupata 50/50 gender representation! Nina hakika kuna wanawake wengi wenye hizo qualifications!
Nampongenza Rais kwa kuliona hilo na kuwapa wanawake wengi Wizara nyeti.
 
..50/50 gender balance?...sounds like affirmative action!

..kitu cha muhimu ni kwa wakina mama wenyewe kujibidiisha kuondoa tabia iliyopo miongoni mwa wengi wao ya kungoja kupokea!watafute!watapata!hasa katika nyanja za shughuli za maendeleo!

..tukilenga kufanya mlinganisho wa lazima tutakuwa tunakosea!kitu sahihi ni kushawishi,kusomesha,na kuwawezesha kina mama kujitegemea zaidi!

..it must be a cultural revolution!
 
Mimi nafikiri hatua ya kwanza ya kupiga hatua wanawake TZ ni kuanza kukataa hizi na nafasi za upendeleo; waanze kukataa huo ubunge wa kupewa mezani. Waende majimboni watu watawaheshimu na kuwachagua.
 
Back
Top Bottom