PreGE2025 No reforms, no election itakuwa kama UKAWA tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,105
Reaction score
136,779
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
 
Wala ujakosea NoReformNoElection
 
Umechanganya mambo mawili tofauti kabisa, ni wapi hiyo kampeni inafanana na Ukawa? Ni wapi Kinana , Januari na Nape wanaweza kufungua ofisi kama ile ya Masaki ya kubadili matokeo kwa Ajili ya No Reforms No Election, huku wakimshirikisha Kapilimba?
 
Nimesema inakoelekea ni kulekule ilipoishia UKAWA.

What part of that is hard to understand?
 
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.

Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.

Hii kampeni inaenda kufa tu kama ilivyokufa UKAWA.

Nani anaikumbuka UKAWA? Ilishasahaulika kabisa katika msamiati 🤣. Oh, na yale maandamano yao [ambayo hayakutokea] nani anayakumbuka?

Pia, wakati wa Magufuli kuna baadhi ya watu walianza kuzichoma kadi zao za CCM. Wengi wao walifanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii wako wapi hao watu? CCM ilipoteza wanachama wangapi kutokana na kadi zake kuchomwa?

Idadi kubwa sana ya Watanzania hata hawaelewi maana ya hiyo slogan ya NRNE.

Watanzania walio wengi wala hawaoni tatizo lolote lile lililopo katika uongozi wa nchi.

Wengi wao wanaamini kila kitu ni hisani ya Rais. Ujinga bado ni mwingi sana.

Vilevile, wengi hata hawajui kiini cha matatizo ni nini.

Hata wale wenye uelewa mdogo, nao wame stuck na mtu mmoja tu ambaye hata hayupo tena, kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote yaliyopo.

Naomba muikumbuke hii mada ili yakishatimia, tuje tukumbushane vizuri kwa rejea.

NRNE ni movement mfu!
NRNE ni imbecilic fracas ya social media, ukiwauliza, kwa njia gani chama kimoja kutazuia vyama 18 visishiriki uchaguzi, wanajibu "we utaona tu siku ikifika" :CaptFailFish:
 
Umechanganya mambo mawili tofauti kabisa, ni wapi hiyo kampeni inafanana na Ukawa? Ni wapi Kinana , Januari na Nape wanaweza kufungua ofisi kama ile ya Masaki ya kubadili matokeo kwa Ajili ya No Reforms No Election, huku wakimshirikisha Kapilimba?
Pls tell us, CDM inawezaje zuia vyama 18 visishiriki uchaguzi, ukinielewesha hiyo methodology/majic mtayotumia na nikaielewa nitajiunga na hiyo NrNe. So far naona tu slogan za NRNE na process za uchaguzi zinaendekea smoooothly:CaptFailFish:
 
NRNE ni imbecilic fracas ya social media, ukiwauliza, kwa njia gani chama kimoja kutazuia vyama 18 visishiriki uchaguzi, wanajibu "we utaona tu siku ikifika" :CaptFailFish:
Hapo kwenye kuzuia uchaguzi CHADEMA walikosea sana!

Neno sahihi la kutumia hapo ni ‘kutokushiriki’ uchaguzi feki.

Otherwise, ni kivipi watauzuia huo uchaguzi usifanyike.
 
Kutoshiriki uchaguzi feki means kususia uchaguzi, ni sawa?
 
Hapo kwenye kuzuia uchaguzi CHADEMA walikosea sana!

Neno sahihi la kutumia hapo ni ‘kutokushiriki’ uchaguzi feki.

Otherwise, ni kivipi watauzuia huo uchaguzi usifanyike.
EXACTLY 💯 %, ukiwaambia hivyo wanaporomosha matusi na vitisho, nadhani hawa ni Gen Z wa JF
 
Ndiyo. Lakini haimaanishi kuzuia uchaguzi.

Kuzuia uchagu kuna insinuate mambo mengine kabisa!
Aminini, hii bet ya Chadema italeta tofauti kwenye chaguzi za Tanzania, sijui ni kwa namna gani na muda gani. Lakini sasa Chadema wanakabiliwa na hali mbili tu, wafe au kuwe na mageuzi.. ngoja tuendelee kuangalia, politics ziko at its core..
 
Back
Top Bottom