PreGE2025 No reform no Election ingeanzia kwenye mifuko yao

PreGE2025 No reform no Election ingeanzia kwenye mifuko yao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maneno na matusi Yako yanasadifu ni kiasi gani kichwani hamnazo unaendeshwa na hisia badala ya uhalisia. Jibu hoja zilizopo sio kutukana.

Hata ukitukana huna unachonipunguzia Wala huwezi kubadili msimamo wangu.
Kwahiyo unaamini kabisa Kuna hoja umeleta na hoja yenyewe ndio hii?
 
Huwa nawashangaa Hawa wabunge na viongozi wa upinzani wakishupaza shingo zako "NO REFORM NO ELECTION" Ni mara ngapi wamechangia katika maendeleo ya nchi Yao kupitia pesa zao za mifukoni wanazolipwa na serikali wanayoipigia kelele!?. Mbona pesa wanazolipwa na serikali hiyo hawazikatai wanazipokea, kama humtaki mtu na siasa zake na chake usile.

Wanakusanya mishahara na marupurupu kibao kwenda kwenye mifuko Yao huoni hata mara Moja wakijitolea pesa za mifukoni kwenye ujenzi wa nchi, kazi kusubiri serikali ndo ifanye, wangekuwa na uchungu na hii nchi wangeanzia hapo.

Aliyesema siasa ni mchezo mchafu hakukosea, ni kama unarusha jiwe gizani hujui litampata nani.

Na baadhi ya Watanzania wameshupaza shingo "No reform no Election", kama mtu ameshindwa kuleta maendeleo kwenye Jimbo lake kwa miaka nenda Rudi, wewe atakuletea Nini!?.

Kila mwanasiasa ni mchumia tumbo , zindukeni acheni kuingizwa mkenge na wanasiasa.
Kwa hayo majimbo kwa miaka hii mitano ya bibi yako Yana maendeleo gani wewe mpuuzi. Ondoa Kifuu juu ya shingo!
 
Hao Wapinzani wamechangia Nini kutoka kwenye posho zao na mishahara Yao mpka iwape uhalali wa kushupaza shingo ya mabadiliko ilihali hawawezi hata kujitolea vya mifukoni mwao.

Sishangazwi na CCM ndo sera zao za hovyo, hao Wapinzani ndo wanaonishangaza ikiwa posho wanapokea na mishahara wanakula wao na familia zao.

Mimi Uliona wapi nimeshupaza shingo ya mabadiliko!?. Kama siwezi kuleta mabadiliko kwenye jamii yangu kutokana na changu kidogo siwezi kushupaza shingo
Kuna kitu unafanyiwa wewe!
 
Huwa nawashangaa Hawa wabunge na viongozi wa upinzani wakishupaza shingo zako "NO REFORM NO ELECTION" Ni mara ngapi wamechangia katika maendeleo ya nchi Yao kupitia pesa zao za mifukoni wanazolipwa na serikali wanayoipigia kelele!?. Mbona pesa wanazolipwa na serikali hiyo hawazikatai wanazipokea, kama humtaki mtu na siasa zake na chake usile.

Wanakusanya mishahara na marupurupu kibao kwenda kwenye mifuko Yao huoni hata mara Moja wakijitolea pesa za mifukoni kwenye ujenzi wa nchi, kazi kusubiri serikali ndo ifanye, wangekuwa na uchungu na hii nchi wangeanzia hapo.

Aliyesema siasa ni mchezo mchafu hakukosea, ni kama unarusha jiwe gizani hujui litampata nani.

Na baadhi ya Watanzania wameshupaza shingo "No reform no Election", kama mtu ameshindwa kuleta maendeleo kwenye Jimbo lake kwa miaka nenda Rudi, wewe atakuletea Nini!?.

Kila mwanasiasa ni mchumia tumbo , zindukeni acheni kuingizwa mkenge na wanasiasa.
 
Attachments

  • FB_IMG_1749561926263.jpg
    FB_IMG_1749561926263.jpg
    39.9 KB · Views: 11
.
Wanakusanya mishahara na marupurupu kibao kwenda kwenye mifuko Yao huoni hata mara Moja wakijitolea pesa za mifukoni kwenye ujenzi wa nchi, kazi kusubiri serikali ndo ifanye,
Nadhani upo mbali na uelewa wa NRNE. By the way, serikali si inakusanya kodi? Kwani wabunge wa upinzani wanakusanya kodi? Wabunge wa CCM huwa wanatoa fedha zao za mfukoni kuchimba visima na kujenga hospitali?
 
Wakuleta mabadiliko hajazaliwa Bado sio CCM Wala Wapinzani.
Sasa jini kifanyike? So kwao tu hata wewe una wajibu. Tambua kwa sasa siasa ndio maisha yako. Kila ufanyacho/fanikiwa wanakupangia hao wanasiasa. So kuwaachia sana maamuzi tabu itaendelea kuwa kwako na kizazi chako
 
Maneno na matusi Yako yanasadifu ni kiasi gani kichwani hamnazo unaendeshwa na hisia badala ya uhalisia. Jibu hoja zilizopo sio kutukana.

Hata ukitukana huna unachonipunguzia Wala huwezi kubadili msimamo wangu.
Wap nmekutukan , yaan we kijana ni kilza prox

Kijana kama wew una mchango mdg sn kweny taifa

Hiyo pesa unayopewa ya bando , wenzio wamechukua mara 100m ya hiyo

Wamebakisha chenji ndo wamekupa ujiunge bando uje upige kelele huku

Lkn hiyo pesa ilibid ugome kisha udai barabara za mitaa , maji , umeme , usalama , elimu bora na matibabu bora

Ila ulivyo mjinga unauza haki na uhuru wako wa miaka 5 kwa thaman ya pesa ya bando

Ni swala la muda kuanzia 2026 tutaanza ongea lugha moja pindi wakianza rudisha pesa kupiti tozo ( zitarudishwa ) , kupanda kwa nauli , mpasuko wa bei kweny bidhaa , nafaka etc

Huez elewa sababu hujui kwann haya yatatokea ila tunza hii reply

Ila utapaswa kujuwa kubwa haya ni marejesho ya pesa zao walizowapa
 
yaani sugu aache kuwekeza kwenye hoteli yake achangie tone tone wakati ngombe zipo
Sugu ni nani? Na wewe umejuaje anawekeza kwenye hotel zake na tone tone hachangiii wewe ni nani kwake wa karibu kiasi hicho mpaka ujue yote haya ?
 
Mabadiliko tuanze kuona kwenye posho zao wanazolipwa zikiwa zinaelekezwa walau kwa asilimia kadhaa kwenye maendeleo na ziwekwe hadharani kama wanavyotaka tume huru. Hapo tutasema kweli tumepata wanamabadiliko.
Hivi unajisikiliza unavyo sound lakini? Ebu soma ulichoaandika kwa sauti halafu ujisikilize mwenyewe 🤔
 
Sugu ni nani? Na wewe umejuaje anawekeza kwenye hotel zake na tone tone hachangiii wewe ni nani kwake wa karibu kiasi hicho mpaka ujue yote haya ?
sugu moto chini hawezi changia tone tone, ela zake ni nyingi tone tone ni kwa ajili yenu mnaokusanya kidogo kidogo
 
sugu moto chini hawezi changia tone tone, ela zake ni nyingi tone tone ni kwa ajili yenu mnaokusanya kidogo kidogo
Umejuaaje hawezi changia na umejua mimi nakusanya kidogo kidogo na sio kingi kumzidi hata huyo sugu wako?
 
Back
Top Bottom