PreGE2025 No reform no Election ingeanzia kwenye mifuko yao

PreGE2025 No reform no Election ingeanzia kwenye mifuko yao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huwa nawashangaa Hawa wabunge na viongozi wa upinzani wakishupaza shingo zako "NO REFORM NO ELECTION" Ni mara ngapi wamechangia katika maendeleo ya nchi Yao kupitia pesa zao za mifukoni wanazolipwa na serikali wanayoipigia kelele!?. Mbona pesa wanazolipwa na serikali hiyo hawazikatai wanazipokea, kama humtaki mtu na siasa zake na chake usile.

Wanakusanya mishahara na marupurupu kibao kwenda kwenye mifuko Yao huoni hata mara Moja wakijitolea pesa za mifukoni kwenye ujenzi wa nchi, kazi kusubiri serikali ndo ifanye, wangekuwa na uchungu na hii nchi wangeanzia hapo.

Aliyesema siasa ni mchezo mchafu hakukosea, ni kama unarusha jiwe gizani hujui litampata nani.

Na baadhi ya Watanzania wameshupaza shingo "No reform no Election", kama mtu ameshindwa kuleta maendeleo kwenye Jimbo lake kwa miaka nenda Rudi, wewe atakuletea Nini!?.

Kila mwanasiasa ni mchumia tumbo , zindukeni acheni kuingizwa mkenge na wanasiasa.
Tunataka maendeleo kupitia kodi na tozo tunazotoa.

Hatutaki maendeleo kupitia mfuko wa mwanasiasa.
 
Hao Wapinzani wamechangia Nini kutoka kwenye posho zao na mishahara Yao mpka iwape uhalali wa kushupaza shingo ya mabadiliko ilihali hawawezi hata kujitolea vya mifukoni mwao.

Sishangazwi na CCM ndo sera zao za hovyo, hao Wapinzani ndo wanaonishangaza ikiwa posho wanapokea na mishahara wanakula wao na familia zao.
Unajitambua? Wapinzani wanalipwa na serikali? Kwa kazi Gani?
 
Mkuu na wewe umeamua kuingia kwenye lile kundi la walamba matter core ya wa kuu na vikuu vya SISIEMBU
Sio kuingia ni kutumia logic tu, Wapinzani wameifanyia Nini nchi yao kutoka katika mifuko yao mpka washupaze shingo ya mabadiliko!??
 
Tunataka maendeleo kupitia kodi na tozo tunazotoa.

Hatutaki maendeleo kupitia mfuko wa mwanasiasa.
Nani kakudanganya utaletewa maendeleo kupitia kwa Wapinzani ambao hawawezi kujitolea hata mia Yao!?. Mtu mwenye uchungu na nchi anaonekanaga kuanzia na chake Cha mfukoni kwanza. Yaani posho za wananchi anazitumbua vizuri halafu akuletee mabadiliko!?. Acheni utani
 
Unajitambua? Wapinzani wanalipwa na serikali? Kwa kazi Gani?
Hakuna wabunge wa upinzani bungeni!?. Wanajilipa wale!?. Posho na marupurupu wanalipwa na vyama vyao!?. Au serikali ndo inawalipa
 
Kwann posho zao na sio posho yako au posho za ccmu
Je kodi zetu zimefanyiwa kaz gan ? Maana kila kitu msaada au mkopo

Huna tofaut na nyann , unatumia hisia na sio uhalisia kuchambua mamb
Zao kwakua wao ndo wanaoshupaza shingo ya mabadiliko ikiwa hawawezi kuyaleta kwa wanachokipata ambacho kinatokana na Kodi zetu za jasho ma damu.
 
Nimekuuliza je, unajitambua? Hebu taja wabunge wa upinzani waliopo bungeni. Au huyo mmoja wa cdm ndio achangie? Poor you!
Kwani unafikiri mimi ni mtoto wa afu 2. Yaani bunge lote tangu lianze miaka yote mpka sasa linawabunge wa CCM tu na cdm mmoja!?. Nimeanza kufatilia Siasa kitambo sio Jana Wala juzi. Tusidanganyane Wapinzani hawawezi kuleta mabadiliko yoyote yale. Ni udanganyifu mtupu.

Hata hao Wapinzani ambao hawapo bungeni wamechangia nini katika nchi Yao mpka sasa hasi washupaze shingo ya mabadiliko!?.
 
Nani kakudanganya utaletewa maendeleo kupitia kwa Wapinzani ambao hawawezi kujitolea hata mia Yao!?. Mtu mwenye uchungu na nchi anaonekanaga kuanzia na chake Cha mfukoni kwanza. Yaani posho za wananchi anazitumbua vizuri halafu akuletee mabadiliko!?. Acheni utani
Sijasema wapinzani hapa.

Hatujitaji msaada.

Tunalipa kodi.

Tunataka kodi zifanye kazi.
 
Mpuuzi wewe tangu 2020 kuna mbunge gani wa upinzani bungeni?

Wakisema utoe mfano wa tume huru za uchaguzi utaleta hii kamati ya CCM?

CHADEMA wanachokipigania ni heshima ya box la kura irudi haijalishi kashinda nani bali wananchi wawe na uwezo wa kuwachagua watu wanaowataka sio kupangiwa na kamati ya CCM inayojinasibisha kama tume huru ya uchaguzi.
 
Kwani unafikiri mimi ni mtoto wa afu 2. Yaani bunge lote tangu lianze miaka yote mpka sasa linawabunge wa CCM tu na cdm mmoja!?. Tusidanganyane Wapinzani hawawezi kuleta mabadiliko yoyote yale. Ni udanganyifu mtupu.
Bado kifikra upo kwenye foolish age ndio maana unaargue kitoto kwa kutoka mifano ya miaka kumi iliyopita! Hebu pisha! Unajaza server ya jf vumbi la ujinga!
 
Sijasema wapinzani hapa.

Hatujitaji msaada.

Tunalipa kodi.

Tunataka kodi zifanye kazi.
Kipi kinakuhakikishia kwamba ukija upinzani Kodi zetu zinatunufaisha!?.
 
Zao kwakua wao ndo wanaoshupaza shingo ya mabadiliko ikiwa hawawezi kuyaleta kwa wanachokipata ambacho kinatokana na Kodi zetu za jasho ma damu.
Kodi zetu hazitoshi ? Kwann usihoji pesa unakatwa kweny umeme

Kweny umeme wanakata kodi 4
1.VAT
2.EWURA
3.REA
4.KODI YA JENGO (1500) KILA MWEZI

CHADEMA WAPIGANIA MAAMUZ KAMA HAYA YASIFANYWE NA WATU VICHOCHORONI MAANA SIDHAN KAMA WALISHIRIKISHA WANANCHI KUHUSU KUWEKA MAKATO YA REA NA EWURA KWENY UMEME WKT EWURA WANAKATA PIA KODI HUKO

WEW UNASHABIKIA UTUMWA NA UNAONA WAJINGA WALE WANAOTAKA KULETA USAWA KWENY JAMII

KITUKO NI KUWA HUELEW LOLOTE LINADAIWA NA CHADEMA
 
Wasipotunufaisha na wao tunawatoa.
Sasa umekataa nini na umefanya nini!?. Matarajio Yako hayana uhakika wa kutekelezwa kwa 100% ni sawa na kutupa jiwe gizani. Gambling
 
Kwani unafikiri mimi ni mtoto wa afu 2. Yaani bunge lote tangu lianze miaka yote mpka sasa linawabunge wa CCM tu na cdm mmoja!?. Nimeanza kufatilia Siasa kitambo sio Jana Wala juzi. Tusidanganyane Wapinzani hawawezi kuleta mabadiliko yoyote yale. Ni udanganyifu mtupu.

Hata hao Wapinzani ambao hawapo bungeni wamechangia nini katika nchi Yao mpka sasa hasi washupaze shingo ya mabadiliko!?.
Kwa akili yako mtekelezaja wa mirad ni mbunge ? Ndio maana nikasema wew huna tofaut na nyann

Nliwai kupitia hali kama yako

hisia nying akili kidogo
 
Sasa umekataa nini na umefanya nini!?. Matarajio Yako hayana uhakika wa kutekelezwa kwa 100% ni sawa na kutupa jiwe gizani. Gambling
Wew ni nyqnn typical , yaan tucheke uovu kwa hisia pia wengine wanaeza kosea

Kwan Dunian tupo sisi tu ? Huez jifunza hata kwa wengine
 
Back
Top Bottom