PreGE2025 No reform no Election ingeanzia kwenye mifuko yao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa umekataa nini na umefanya nini!?. Matarajio Yako hayana uhakika wa kutekelezwa kwa 100% ni sawa na kutupa jiwe gizani. Gambling
Miaka 40 ya CCM imeatosha.

Huwezi kusema wengine watakosea wakati hawajafanya.

CCM imeshafanya imeshindwa, imebaki kuua watu tu na kufuga machawa.
 
Nani alikwambia nchi inajengwa, kwa pesa za mfukoni mwa viongozi? Kitu kama hukijui, uulize kwanza. Hakuna kiongozi ataijenga nchi kwa pesa zake za mfukoni. Kodi yako ndiyo inajenga nchi, misaada na hiyo mikopo japo kodi zetu ndiyo zinatumika vibaya.

Viongozi wa upinzani wana mchango mkubwa sana, wamesemea na kukemea mambo mengi wakiwa ndani ya Bunge na nje ya Bunge. Kuna mambo yasingekuwepo bila wao kupigia kelele.

Wameweka hadharani, maufisadi makubwa ya nchi hii, tuwe na shukrani. Kwenye majimbo yao wengi wanapigia kelele japo Serikali hawataki kupeleka maendeleo wakati mwingine kwenye majimbo ya upinzani. Mtu kama Lissu kwa taaluma yake amejitolea sana, kusimamia kesi za wasiojiweza.
 
Kodi zetu hazitoshi ? Kwann usihoji pesa unakatwa kweny umeme

Kweny umeme wanakata kodi 4
1.VAT
2.EWURA
3.REA
4.KODI YA JENGO (1500) KILA MWEZI

CHADEMA WAPIGANIA MAAMUZ KAMA HAYA YASIFANYWE NA WATU VICHOCHORONI MAANA SIDHAN KAMA WALISHIRIKISHA WANANCHI KUHUSU KUWEKA MAKATO YA REA NA EWURA KWENY UMEME WKT EWURA WANAKATA PIA KODI HUKO

WEW UNASHABIKIA UTUMWA NA UNAONA WAJINGA WALE WANAOTAKA KULETA USAWA KWENY JAMII

KITUKO NI KUWA HUELEW LOLOTE LINADAIWA NA CHADEMA
Lini chadema ilifanya maamuzi Yao wakayaweka hadharani!?.

Unauhakika Gani chadema ikiingia hakutakuwa na tozo kubwa!?. Watakuwa wawajibikaji!?, Kutakuwa na uwazi!? , Unadanganywa na siasa za mdomoni. Wafanye kweli kwanza kuanzia kwenye posho zao ambazo wanazipata kwa jasho na damu za wananchi.

Lini waliwahi kutoka hadharani na wakasema serikali imenilipa kiasi hiki na hiki basi nami najitolea kwa wananchi wangu!?. Lini Uliona!?.

Kama hawawezi kuwajibika kwa kidogo Chao wakipatacho kwa jasho na damu za wananchi hakuna mabadiliko yoyote watakayoleta ni porojo tupu.
 
Miaka 40 ya CCM imeatosha.

Huwezi kusema wengine watakosea wakati hawajafanya.

CCM imeshafanya imeshindwa, imebaki kuua watu tu na kufuga machawa.
Hao wengine ndo tungewaona uwajibikaji wao na uchungu wao kwa nchi yao kipindi ambacho hawajaingia hapo madarakani.
 
Nani alikwambia nchi inajengwa, kwa pesa za mfukoni mwa viongozi? Kitu kama hukijui, uulize kwanza. Hakuna kiongozi ataijenga nchi kwa pesa zake za mfukoni. Kodi yako ndiyo inajenga nchi, misaada na hiyo mikopo japo kodi zetu ndiyo zinatumika vibaya.

Viongozi wa upinzani wana mchango mkubwa sana, wamesemea na kukemea mambo mengi wakiwa ndani ya Bunge na nje ya Bunge. Kuna mambo yasingekuwepo bila wao kupigia kelele.

Wameweka hadharani, maufisadi makubwa ya nchi hii, tuwe na shukrani. Kwenye majimbo yao wengi wanapigia kelele japo Serikali hawataki kupeleka maendeleo wakati mwingine kwenye majimbo ya upinzani. Mtu kama Lissu kwa taaluma yake amejitolea sana, kusimamia kesi za wasiojiweza.
Moyo wa kujitolea Huwa unaonekana hata kwa kidogo ulichonacho. Ndipo watu wataona mwanga kwamba kweli moyo wa mabadiliko unao.

Ni sawa na unamuona mtu anazama halafu unapiga kelele za watu waje kumuokoa ikiwa Bado umesimamia ulipo huna hata jitihada zozote uzioneshazo.

Nchi haiwezi kujengwa na pesa za watu mifukoni lakini waliwahi kuwa na huo moyo wa kujitolea zaidi ya kuhimiza serikali ifanye Kila kitu!?. Mbona posho zao na marupurupu hazijawahi kusaidia hata majimbo Yao kama kweli wanamoyo na nia ya mabadiliko.
 
Umeenda kuuliza ukaambiwa huwa hawasaidii? Na kama bado hujafanya utafiti kwanini uje na jibu kuwa hawajitolei? Kwenye siasa naona bado sana wewe. Kuwa Mpinzani kwenye nchi kama hizi zinazoendelea si kazi ndogo. Mnabidi mjitolee sana, mnaweza msiwe na ruzuku. Mnatakiwa mchangishane wenyewe na hapo bado mnatakiwa kuwasemea wananchi. Hii ni zaidi ya kujitolea.

Nimekutolea mfano Lissu kafanya kazi ya kujitolea kama Wakili, kwa watu wasiojiweza wengi sana. Hii ni zaidi ya pesa ndiyo hawa unawaona huwa wanalia kila akipata matatizo. Jaribu kufanya utafiti ndiyo uje useme, hawa ni watu wako karibu sana na wananchi na ndiyo maana nao wanajitolea sasa kuchangia Chama nyakati hizi.
 
Huwa nawashangaa Hawa wabunge na viongozi wa upinzani wakishupaza shingo zako "NO REFORM NO ELECTION" Ni mara ngapi wamechangia katika maendeleo ya nchi Yao kupitia pesa zao za mifukoni wanazolipwa na serikali wanayoipigia kelele!?. Mbona pesa wanazolipwa na serikali hiyo hawazikatai wanazipokea, kama humtaki mtu na siasa zake na chake usile.

Wanakusanya mishahara na marupurupu kibao kwenda kwenye mifuko Yao huoni hata mara Moja wakijitolea pesa za mifukoni kwenye ujenzi wa nchi, kazi kusubiri serikali ndo ifanye, wangekuwa na uchungu na hii nchi wangeanzia hapo.

Aliyesema siasa ni mchezo mchafu hakukosea, ni kama unarusha jiwe gizani hujui litampata nani.

Na baadhi ya Watanzania wameshupaza shingo "No reform no Election", kama mtu ameshindwa kuleta maendeleo kwenye Jimbo lake kwa miaka nenda Rudi, wewe atakuletea Nini!?.

Kila mwanasiasa ni mchumia tumbo , zindukeni acheni kuingizwa mkenge na wanasiasa.
Mwenzetu yupo nyuma ya muda
 
Lini chadema ilifanya maamuzi Yao wakayaweka hadharani!?.

Unauhakika Gani chadema ikiingia hakutakuwa na tozo kubwa!?. Watakuwa wawajibikaji!?, Kutakuwa na uwazi!? , Unadanganywa na siasa za mdomoni. Wafanye kweli kwanza kuanzia kwenye posho zao ambazo wanazipata kwa jasho na damu za wananchi.

Lini waliwahi kutoka hadharani na wakasema serikali imenilipa kiasi hiki na hiki basi nami najitolea kwa wananchi wangu!?. Lini Uliona!?.

Kama hawawezi kuwajibika kwa kidogo Chao wakipatacho kwa jasho na damu za wananchi hakuna mabadiliko yoyote watakayoleta ni porojo tupu.
Wew ni nyann prox , ishu sio kodi kubwa ila ishu ni kodi inatumikaj ?
Mf wilaya ya Mwanga , Kilimanjaro inamakazi karibu 60,000 na tuseme kila nyumba ina mita moja ambayo inakatwa 1500 kila mwez ambapo serikali wanakusanya 90m kwa mwezi na kwa mwaka 1080m=1.08B kwa , ila hapo mwanga wameshindwa weka hata mataa dustbin za mtaani kwa maeneo ya stend , sokoni na hata maeneo yenye mikusanyiko mikubwa ya kijamii

Pia wameshindwa hata kusakafia soko , au stend ya wilaya

Hoja sio ukubwa wa kodi bali matumiz ya kodi zetu

Wakila wakavimbiwa ndo wanawapa mabando nyiny manyann ili mje kuwatetea huku
 
Kwahiyo kwa akili Yako ndogo chadema ndo watakuja kusakafia soko na kutumia Kodi zetu kwa manufaa yetu.

Ndo nikakupa mfano , una uhakika Gani kwa 100% kwamba Chadema ataleta mabadiliko!?, Atakusanya mapato na kutumia kwa manufaa ya wananchi!?.

Jibu ni hakuna uhakika ila tunafanya gambling, pata potea.

Sio kuwatetea sijawahi kuwa uspsnde wa mwanasiasa yoyote yule, hata hao chadema hawatofanya lolote zaidi ya kuchumia matumbo Yao.

Wangekuwa wafanyaji wangeanzia na posho zao na marupurupu wanayolipwa.
 
Kwahiyo tule kweny chungu kile kile kichafu? wkt tunaeza jarib kwa chungu kingine cha jiran

Kama unaishi kama jiwe bas jitafakar mara mbili mbili , wew ni nyann prox
 
Wameanza nini!? Lini ,wapi, saa ngapi!?. Wanasiasa wotee ni wachumia tumbo
Aibu sana kuona kijana mpuuz kama ww unashabikia mtu anaekunyonya

Ulipaswa upewe zaid ya hizo pesa za kununulia bando zinazokutoa akil unakuja kuonesha usiheshim utu wko

Mtu km ww , hata mkndu unatoa kisa pesa kdg
 
Umeenda kuuliza ukaambiwa huwa hawasaidii? Na kama bado hujafanya utafiti kwanini uje na jibu kuwa hawajitolei? Kwenye siasa naona bado sana wewe. Kuwa Mpinzani kwenye nchi kama hizi zinazoendelea si kazi ndogo. Mnabidi mjitolee sana, mnaweza msiwe na ruzuku. Mnatakiwa mchangishane wenyewe na hapo bado mnatakiwa kuwasemea wananchi. Hii ni zaidi ya kujitolea.

Nimekutolea mfano Lissu kafanya kazi ya kujitolea kama Wakili, kwa watu wasiojiweza wengi sana. Hii ni zaidi ya pesa ndiyo hawa unawaona huwa wanalia kila akipata matatizo. Jaribu kufanya utafiti ndiyo uje useme, hawa ni watu wako karibu sana na wananchi na ndiyo maana nao wanajitolea sasa kuchangia Chama nyakati hizi.
sijutii kukupenda babe
 
Basi tungeanza kuona uwajibikaji wao hapo. Wangetoka hadharani wakasema serikali haijatoa ruzuku imebidi tuchagishane wenyewe na tumechangishana tumepata kiasi kadhaa tunafanya kitu kadhaa. Hii ndo transparent waitakayo basi ingeanza na wao.

Au Kuna ushahidi mfano wa huo ulete hapa tuone ili tujue kweli nyuma ya kelele kubwa zinazopigwa pia Kuna kazi kubwa inafanyika.

Na siasa sijaanza kufatilia Leo Wala Jana, kama nilipitwa na hiyo scenario niwekee hapa ili twende na hiyo No reform no Election.
 
Aibu sana kuona kijana mpuuz kama ww unashabikia mtu anaekunyonya

Ulipaswa upewe zaid ya hizo pesa za kununulia bando zinazokutoa akil unakuja kuonesha usiheshim utu wko

Mtu km ww , hata mkndu unatoa kisa pesa kdgo.
Maneno na matusi Yako yanasadifu ni kiasi gani kichwani hamnazo unaendeshwa na hisia badala ya uhalisia. Jibu hoja zilizopo sio kutukana.

Hata ukitukana huna unachonipunguzia Wala huwezi kubadili msimamo wangu.
 
Back
Top Bottom