PreGE2025 No reform no Election ingeanzia kwenye mifuko yao

PreGE2025 No reform no Election ingeanzia kwenye mifuko yao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umejuaje sina akili?
1749644887780.png


nimeshaweka oda ukifika waambie wewe ni mwanachama wa tone tone watakupokea bila malipo
 
View attachment 3364492

nimeshaweka oda ukifika waambie wewe ni mwanachama wa tone tone watakupokea bila malipo
Wewe ni nani yake sugu mpaka ukiri kuwa hawezi changia tone tone?

Kwamba wewe unajua mienendo ya huyo sugu kwa ukaribu , kwenda mirembe sio tatizo kwa sababu sio mara ya kwanza kufika hapo na kuwatibu watu wanaofanana na wenye mawazo kama yako.
 
Tuna safari ndefu mno mpaka kupata uhuru chini ya mkoloni ccm.
Watu Kama ninyi ndio mtaji wa ccm
Nyie wa Kufata mkumba bila kufikiri na kuhoji ndo wakombozi wa hii nchi!?.
 
Mbona unaishupazia shingo NRNE, umechangia kiasi gani kutoka mfukoni mwako?
🤣🤣🤣
Nyie mnaoishabikia mkidhani Kuna kitu kitachobadilika kwa hiyo NRNE ndo mnanishangaza. Kama mabadiliko yangeanza na mifuko Yao kwanza. Mnafata mkumbo bila kutafakari
 
Nadhani upo mbali na uelewa wa NRNE. By the way, serikali si inakusanya kodi? Kwani wabunge wa upinzani wanakusanya kodi? Wabunge wa CCM huwa wanatoa fedha zao za mfukoni kuchimba visima na kujenga hospitali?
Sifungamani na CCM Wala Wapinzani, wote wezi tu. Hao Wapinzani wanaoshupaza shingo kwa NRNE tungeona uchungu wao kwanza kwenye utetezi wa nchi kupitia mifuko Yao. Vinginevyo ni kelele tu wanapiga
 
Nitajie mpinzani mmoja ambae analipa rent taxes!?. Wote wanatembelea magari ya kifahari yaliyonunuliwa kwa Kodi zetu. Uliwahi kuona hata siku Moja Hilo gari njiani likabeba hata raia kuwasogeza mbele ya safari!?. Kama kweli wanauchungu na nchi Yao na raia wake!?.

Ni mara ngapi wamejitolea vya mfukoni mwao kwaajili ya watu wao na nchi yao!?.
Nani anawafundisha kufanya argument kwa namna hii?

Poor thing.
 
Back
Top Bottom