hey mijanaume munikome muniwache kunipm.
I am very expensive clijui jua la bongo.
Huwaga nawapaga my life stories to release the burden and am not looking for mens or sexmate.
And those pm's goes directly to my muheshimiwa email.
Munikome muniwache
Angejua wanaume wa humu ni kuchomeka na kuchomoa walaaa........ tena wengi (si wote) full manjaa, watu wengi wenye hela zao wako busy na mabisness yao huko mtaani hawana hata muda wa kung'aa macho huku JF (kama haamini basi).
Unajua Geography wewe, wacha kabisa............!
Dunia imezungukwa na MAJUA mangapi......?
Unatania lakini kuna kaukweli. teh teh
Kama ulivyoweka eksepsheni kwamba sio wote!!
Mweeh ngoja nijiondokee mie nisijeambiwa kutoa ushahidi.
Hahahaha mpendwa nilishasema natania tu....pole kama nimekukwaza.
Kaka, biashara matangazo.Hivi kuna watu huwa wanafanya hiyo kitu??
u CAN BE A MAN!! .... UUURGHH.
ukisikia yalaaaaaaaaaaa!!! ujue limempata!! hahahahahaahahahaha!!!!
Zahra White ... kuwa expensive ni kutolijua jua la Bongo? ...I guess you have your own definition of being expensive!hey mijanaume munikome muniwache kunipm.
I am very expensive clijui jua la bongo.
Huwaga nawapaga my life stories to release the burden and am not looking for mens or sexmate.
And those pm's goes directly to my muheshimiwa email.
Munikome muniwache
Mara ... ''NO ONE CAN AFFORT ME'' .... mara ''PM ZOTE ZINAENDA KWA E-MAIL YA MUHESHIWA'' .... Kumbe unaafodika tu... kwani huyo muheshiwa ana nini nasi tushindwe tuna nini..?? mimi nilidhani huna mtu kwamba wote tumekushindwa na umebaki peke yako...???hey mijanaume munikome muniwache kunipm.
I am very expensive clijui jua la bongo.
Huwaga nawapaga my life stories to release the burden and am not looking for mens or sexmate.
And those pm's goes directly to my muheshimiwa email.
Munikome muniwache
kwani hao wanaume zaidi ya 120 uliyokwisha kutembea nao
wana tofauti gani na hawa wa humu jf?
Mara ... ''NO ONE CAN AFFORT ME'' .... mara ''PM ZOTE ZINAENDA KWA E-MAIL YA MUHESHIWA'' .... Kumbe unaafodika tu... kwani huyo muheshiwa ana nini nasi tushindwe tuna nini..?? mimi nilidhani huna mtu kwamba wote tumekushindwa na umebaki peke yako...???
hiyo nzuri yaani au azidisable tu pm tatizo nae mashauzi kibao wanaume wenyewe wa humu wakware.
Aache mashauzi aone wenzake tuna miezi hatupokei pm
Angejua wanaume wa humu ni kuchomeka na kuchomoa walaaa........ tena wengi (si wote) full manjaa, watu wengi wenye hela zao wako busy na mabisness yao huko mtaani hawana hata muda wa kung'aa macho huku JF (kama haamini basi).
Mrembo by Nature .....! na naeingiza pesa kupitia hapa jf....?
Huyu ni manoah yule yule niliyekuwa namfaham au mwingine?mbona sura nyingine ila sauti na mikono ni ile ile??
Mrembo by Nature ni yule yule tu, ila sasa ameamu kua brothermen maisha ya kigumu yamemchosha na kumtia mabaraa