Hakuna ufundi wowote utafanya hapo wahuni wakichezea network ndio madhara yanatokea kwa baadhi ya simu na kwa muda fulani kuna watu nawatafuta huko Tanzania siwapati ila simu zao zipo on nawapata kwa kuwapigia walio karibu yao nao wanashangaa utafanya chochote hapo hakuna ubovu kipindi mpaka uchaguzi upite ndio net itarudi kidogo na kuwa stable kwa wote.