No english no service!!!

No english no service!!!

majany

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2008
Posts
1,223
Reaction score
586
I was born intelligent but education has ruined me. May your day be panctuated with a revanchism whose magniloquence can only be theatropistically analysed by the use of a reminiscent excarbation. I hope you don't mind my apostacy. I know your arquistic impedance might not engulf this kind of debanched pedagogy because of its repuginatious tolecentrism...

My friend, I believe English was compulsory in your University ... ........
 
what is english by the way?
nawapenda sana wachina............ from nursery to university ni kichina tu
 
Hiki kiinglish cha Katibu wa Umofia kwenye kitabu cha No longer at ease kilimshinda hata Obi Okwonkwo aliyepelekwa kwenda kusoma sheria yeye akasoma Literature Uingereza! I real dont like it!
 
Hiki kiinglish cha Katibu wa Umofia kwenye kitabu cha No longer at ease kilimshinda hata Obi Okwonkwo aliyepelekwa kwenda kusoma sheria yeye akasoma Literature Uingereza! I real dont like it!
Una kumbukumbu! We lazima ulipata div 1 o'level
 
Sawa Mhandisi,ila tofauti zako na sweetlady mmeshazimaliza,,??Kaniambia kuwa ameshaachana na wewe..??

Utaachanaje na mtu hujawahi kuwa nae!? Yeye ameona hanipati, kaamua kutulia kwa mumewe baada ya kuona anakaribia kuresti ini pisi kwa ajili yangu!
 
Last edited by a moderator:
Utaachanaje na mtu hujawahi kuwa nae!? Yeye ameona hanipati, kaamua kutulia kwa mumewe baada ya kuona anakaribia kuresti ini pisi kwa ajili yangu!

Ah wapi thibitisha kama hujawahi kuwa naye au aje hapa athibitishe kuwa aliwahi kuwa na wewe....
 
Mimi ni BAIMUNA sijui lugha gani majany kaandika hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Utaachanaje na mtu hujawahi kuwa nae!? Yeye ameona hanipati, kaamua kutulia kwa mumewe baada ya kuona anakaribia kuresti ini pisi kwa ajili yangu!
Nani kasema hatujawahi kuwa wote? Wanchekesha ! Sosi:FF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom