Toa roho mbaya huko na chuki kwa wapenda haki
Hulikuwa huitaji kuhusisha hilo jambo la wenzetu kupigwa na ishu ya zanzibar
Wapo wahind kibao tunakaa nao mtaani na tunapenda na nao acha kutuchonganisha
Wahindi wenye roho mbaya ni wale magabacholi kina rostam na mafisadi yenu mnayoyalinda mlioamua kuwapa uongozi huko chamani kwenu ila wale Wahindi maskin hatuna shida nao
Wa zanzibar wenyewe kwa ridhaa yao bila kulazimishwa waliamua kumchagua Maalim Seif wana imani kubwa naye
Hizo propaganda za lumumba kawapigie stori wazee wenzako kwenye VIKAO venu katika vijiwe vya kahawa
Basi sawa
Na hapo ndipo swala zima lilipo wewe unajivunia kukaa nao mitaani bila ya shida kumbuka kwamba wewe uko kwenu lkn kwao hakuna Muhindi ambaye anaweza akaandika kama ulivyoandika kwamba tunaishi na Waafrika mitaani kwetu bila ya shida, na hiyo ndiyo fikra ambayo tunapswa kuondokana nayo, Dunia haiko hivyo na haijalishi ni kwa kiasi unataka kuonyesha kwamba wewe una upendo na hawa watu kamwe hawawezi kukubali unaona wanakuchekea kwa sababu wanakuhitaji, lkn siku ukiwahitaji wewe ndiyo utawajua!
Waungwana tuwe na tafakuri haiwezekani afanye kosa mwingine aadhibiwe mwingine .Kweli pana wahindi na waarabu wapo uzuri tu ila wapo wengine pasua kichwa.
Ati kuna waarabu wazuri????Waungwana tuwe na tafakuri haiwezekani afanye kosa mwingine aadhibiwe mwingine .Kweli pana wahindi na waarabu wapo uzuri tu ila wapo wengine pasua kichwa.
Basi sawa
Kwenye post yako umeharibu ulivoweka uhusiano wa hilo tukio na ishu ya zanzibar ambayo ccm mmetufanya sisi matahira kwamba eti leo Maalim kisa sio mweusi basi ndo kawa mbaya ila hamkumbuki km mlikuwa wote kwenye serikali na ameshashika nafasi kubwa leo yeye kuwa tena kiongoz imekuwa shida
Malaana ya bure unajipatia kwa Mungu
Yaani kweli kabisa unaunga mkono hilo?
Kila jambo lina mwisho
Kiongozi ukiona mtu anawakibali Waarabu ujue kuna jambo hapo. Ngoja tumuulize aje hapa afungukeAmka wewe Dunia haiko hivyo, na wala wao hawaoni hivyo!
Hao waliopewa kichapo ni Waafrika weusi kama wewe na mimi na wametokea tu kuwa huko India hivyo hata kama ungekuwa wewe wangekupa kichapo pia!
Nadhani hata waafrika wapo wabaya na wazuri pia so mpaka nikutajie mtu fulani nadhani itakuwa ngumu ila ki ukweli ubaguzi unaanzia mbali hata kwenye familia zetu tunabaguana kwa kipato au elimu au kitu chochoteAti kuna waarabu wazuri????
Nipe mfano mmoja tu wa Mwarabu yoyote ambaye amekufanyia jambo zuri wewe hapo hadi ukafurahibsanaaa na sasa hivi unakija kusema hapa kuwa waarabu ni waxuri wanakufanyia mambo mema.
Tupe mfano Sheikh.
NImeamka siku nyingi wala siandiki kufurahisha mtu na wala sikichukulii kitendo walichofanya ni cha kiungwana la hasha ila hilo halinipi uhalali wa kujumlisha kuwa wahindi wote na wazungu wote wabaya au na sisi huku tuwaadhibu walioko hapaAmka wewe Dunia haiko hivyo, na wala wao hawaoni hivyo!
Hao waliopewa kichapo ni Waafrika weusi kama wewe na mimi na wametokea tu kuwa huko India hivyo hata kama ungekuwa wewe wangekupa kichapo pia!
Ushawaji kubaguliwa?Nadhani hata waafrika wapo wabaya na wazuri pia so mpaka nikutajie mtu fulani nadhani itakuwa ngumu ila ki ukweli ubaguzi unaanzia mbali hata kwenye familia zetu tunabaguana kwa kipato au elimu au kitu chochote
Hakuna nchi isiyobagua hata hao wahindi wakienda kwenye nyinginez especially developed countries wanabaguliwa sana..shida ni sisi Africa bado tuna elements za kunyenyekea wageni..